joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Mara zote tumekuwa tukiwaambia kwamba Kenya kuna uzembe na ulegevu ktk mapambano dhidi ya Corona, pia tumesema kwamba Kenya haijajipanga vizuri katika mapambano haya, zaidi ya kupima na kuitangazia dunia kwamba kuna watu wengi Kenya wenye maambukizi ili wapate sababu ya kuomba misaada na kufutiwa madeni, hakuna juhudi za dhati toka mamlaka za Kenya katika kukabiliana na janga hili. Sikilizeni kwa makini hii video.
Sent using Jamii Forums mobile app