joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Natafuta Kenya hapa
Mara zote tumekuwa tukiwaambia kwamba Kenya kuna uzembe na ulegevu ktk mapambano dhidi ya Corona, pia tumesema kwamba Kenya haijajipanga vizuri katika mapambano haya, zaidi ya kupima na kuitangazia dunia kwamba kuna watu wengi Kenya wenye maambukizi ili wapate sababu ya kuomba misaada na kufutiwa madeni, hakuna juhudi za dhati toka mamlaka za Kenya katika kukabiliana na janga hili. Sikilizeni kwa makini hii video.
Sent using Jamii Forums mobile app
9&10 ziko bara gan?ki ukwel sizijuiNatafuta Kenya hapa
Unaiona?
View attachment 1409048
Usifurahie kwa jirani kukichomeka maybe you are next.
Dahhh inamaana Somali pia imetupita?Natafuta Kenya hapa
Unaiona?
View attachment 1409048
Usifurahie kwa jirani kukichomeka maybe you are next.
Bara Asia. Former Soviet Union Countries.
Somali iko kwa list ya Failed stated Yani ungovernable.
Kuna nchi kibao hapo ambazo zina maisha ya chooni lkn hazipo including kenya, na ndiyo maana huwa nawaambia Wakenya wasipende sn kutegemea report za wazungu hazitawasaidia chochote zaidi ya kuwaharibu kisaikolojia, kenya ukitoa Nairobi ni uozo mtupu, wana njaa, maji hamna, vita kila siku, ufisadi uliopindukia yn huwezi kabisa kulinganisha na Tz hata Wakenya wenyewe wanajua hilo.
Kama ilivyo Kenya, Failed state.Somali iko kwa list ya Failed stated Yani ungovernable.
Kama kawaida
Umeelewa somoKama kawaida
Hata Burundi mkuu imetupita eti[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3] ndo wajiulize ss wazee wa kutegemea report za wazunguHata Burundi mkuu imetupita eti[emoji3][emoji3][emoji3]
macson
Wewe acha kutetea ujinga. Hapa kwetu karinti ziko vizuriUnailinganisha na nchi gani kwa mfano ?!.
Nchi zote za Africa especially hizi za dunia ya tatu, hatuchekani.
Kama ulisikia waziri wetu wa wizara husika na Corona akiwa sirari alitamka "ikitufikia Corona sisi hatuwezi kuimudu". Na haya aliyasema alipoona serikali ya China ilivyochukuwa hatua na gharama walizotumia. So mapungufu ya maji Kenya ni sawa Tu na hapa kwetu.
Odhis *
Mara zote tumekuwa tukiwaambia kwamba Kenya kuna uzembe na ulegevu ktk mapambano dhidi ya Corona, pia tumesema kwamba Kenya haijajipanga vizuri katika mapambano haya, zaidi ya kupima na kuitangazia dunia kwamba kuna watu wengi Kenya wenye maambukizi ili wapate sababu ya kuomba misaada na kufutiwa madeni, hakuna juhudi za dhati toka mamlaka za Kenya katika kukabiliana na janga hili. Sikilizeni kwa makini hii video.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe huelewi hili somo?Umeelewa somo
Hii mbn ishapata muarobaini, nchi hii hai deserve kuwa hapo hata ww mwnyw unajua hilo subiri report ijayo, ss cjui utakuwa unapost nn mana ndio unachokitegemea hicho yn ukikosa hoja unapost hyo picha ww km Nicxie mnapost kitu mara 20 per day [emoji3][emoji3][emoji3]Kwani wewe huelewi hili somo?View attachment 1409124