Kata rufaa kwa meneja mkuu. Huo ni utumwa wa nafsi hadi macho anaowafanyia huyo "demu"!Halafu umeandika amerara mbere na bia mlizomnunulia? Aisee, huyo ni mnyang'anyi in a broad daylight! Anza kulia kwa kugugumia mkuu. No way, nimechukia sana mwanachama hai kufanyiwa "zeleheba" uwanja wa nyumbani.Mi nataka siku mmoja wanaume tulete mgomo. Tuko wachache alafu kunakuwa Na ushindani kuwa pata mademu. Niko bar hapa kuna muhudumu kisu hatulii anaitwa kila meza hili jambo lina niudhi sana. sasa kama sasa hivi kahama meza na bia tulizo mnunulia,
Dah...umewahi kwenda magereza? Unaijua ratio ya wagonjwa wa akili kati ya ME:KE? Unajua idadi ya mashoga? Wale wasio na nguvu za misuli?.... Bado iwe nusu kwa nusu?Halafu hii ni belief ambayo sijui tunarithishana ya kuamini wanawake ni wengi kuliko wanaume..
Lakini ukweli ni kwamba DUNIANI IDADI YA WANAWAKE NA WANAUME NI APPROXIMATELY SAWA..
Yaani ratio ya wanawake kwa wanaume n 1:1
Hata tanzania sensa ya 2012 tulikua mil 45 wanaume wakiwa mil 22+ na wanawake wakiwa mil 22+..
Hii kitu ya wanawake kuwa wengi kuliko wanaume sijui aliianzisha nani na kwa manufaa gani??
Basi hapo mkuu itakuwa wanaume ni wengi kuliko wanawake,maana pamoja na yote hayo ila bado tuko sawa.Dah...umewahi kwenda magereza? Unaijua ratio ya wagonjwa wa akili kati ya ME:KE? Unajua idadi ya mashoga? Wale wasio na nguvu za misuli?.... Bado iwe nusu kwa nusu?
Mpaka namuagiza bia Na kumnunulia maana yake na muhehimuHeshimu wenzako wanapokuwa kazini.
asante mwanachama mwenzangu nita ongea naKata rufaa kwa meneja mkuu. Huo ni utumwa wa nafsi hadi macho anaowafanyia huyo "demu"!Halafu umeandika amerara mbere na bia mlizomnunulia? Aisee, huyo ni mnyang'anyi in a broad daylight! Anza kulia kwa kugugumia mkuu. No way, nimechukia sana mwanachama hai kufanyiwa "zeleheba" uwanja wa nyumbani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwambie aziache hapo akimaliza kuhudumia atazikuta hapoMi nataka siku mmoja wanaume tulete mgomo. Tuko wachache alafu kunakuwa Na ushindani kuwa pata mademu. Niko bar hapa kuna muhudumu kisu hatulii anaitwa kila meza hili jambo lina niudhi sana. sasa kama sasa hivi kahama meza na bia tulizo mnunulia,
poa kamanda[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwambie aziache hapo akimaliza kuhudumia atazikuta hapo
[emoji2]Poa
poa kamanda
Kwenye vita wanaoathirika sana sio wanajeshi...ni wanawake na watoto..Regardless,jamaa katoa sababu ya kweli pia!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha umenichekeshacha ajabu mnasema wanawake ni wengi lkn bado wana kibao hawana hata demu mmoja,wakai hao wanawake ambao ni wengi unakuta mwanamke mmoja anamiliki mabwana watano,hesabu yake huwaga siielewi inakuwaje aisee....
Wanawake wako wengi kuliko wanaume huko Urusi, zilizokuwa nchi za Ulaya Mashariki na Ujerumani, sababu kubwa ni WW2."Wanaume wengi tunakufa vitani".
Wanawake wako wengi kuliko wanaume huko Urusi, zilizokuwa nchi za Ulaya Mashariki na Ujerumani, sababu kubwa ni WW2.
Vv
Itakua vita ya mapenziVita vya maji maji, kagera au vita gani mkuu?
Kwenye Ardhi yetu hii ya Kibongo
Mi nataka siku mmoja wanaume tulete mgomo. Tuko wachache alafu kunakuwa Na ushindani kuwa pata mademu. Niko bar hapa kuna muhudumu kisu hatulii anaitwa kila meza hili jambo lina niudhi sana. sasa kama sasa hivi kahama meza na bia tulizo mnunulia,