Hii ndio sababu kuu kwanini wanawake ni wengi duniani kuliko wanaume

Hii ndio sababu kuu kwanini wanawake ni wengi duniani kuliko wanaume

Mi nataka siku mmoja wanaume tulete mgomo. Tuko wachache alafu kunakuwa Na ushindani kuwa pata mademu. Niko bar hapa kuna muhudumu kisu hatulii anaitwa kila meza hili jambo lina niudhi sana. sasa kama sasa hivi kahama meza na bia tulizo mnunulia,
Kata rufaa kwa meneja mkuu. Huo ni utumwa wa nafsi hadi macho anaowafanyia huyo "demu"!Halafu umeandika amerara mbere na bia mlizomnunulia? Aisee, huyo ni mnyang'anyi in a broad daylight! Anza kulia kwa kugugumia mkuu. No way, nimechukia sana mwanachama hai kufanyiwa "zeleheba" uwanja wa nyumbani.
 
Halafu hii ni belief ambayo sijui tunarithishana ya kuamini wanawake ni wengi kuliko wanaume..

Lakini ukweli ni kwamba DUNIANI IDADI YA WANAWAKE NA WANAUME NI APPROXIMATELY SAWA..

Yaani ratio ya wanawake kwa wanaume n 1:1

Hata tanzania sensa ya 2012 tulikua mil 45 wanaume wakiwa mil 22+ na wanawake wakiwa mil 22+..

Hii kitu ya wanawake kuwa wengi kuliko wanaume sijui aliianzisha nani na kwa manufaa gani??
Dah...umewahi kwenda magereza? Unaijua ratio ya wagonjwa wa akili kati ya ME:KE? Unajua idadi ya mashoga? Wale wasio na nguvu za misuli?.... Bado iwe nusu kwa nusu?
 
Dah...umewahi kwenda magereza? Unaijua ratio ya wagonjwa wa akili kati ya ME:KE? Unajua idadi ya mashoga? Wale wasio na nguvu za misuli?.... Bado iwe nusu kwa nusu?
Basi hapo mkuu itakuwa wanaume ni wengi kuliko wanawake,maana pamoja na yote hayo ila bado tuko sawa.
 
Heshimu wenzako wanapokuwa kazini.
Mpaka namuagiza bia Na kumnunulia maana yake na muhehimu
Kata rufaa kwa meneja mkuu. Huo ni utumwa wa nafsi hadi macho anaowafanyia huyo "demu"!Halafu umeandika amerara mbere na bia mlizomnunulia? Aisee, huyo ni mnyang'anyi in a broad daylight! Anza kulia kwa kugugumia mkuu. No way, nimechukia sana mwanachama hai kufanyiwa "zeleheba" uwanja wa nyumbani.
asante mwanachama mwenzangu nita ongea na

meneja. nimekuja kugundua mwenye bar anapita.
 
Mi nataka siku mmoja wanaume tulete mgomo. Tuko wachache alafu kunakuwa Na ushindani kuwa pata mademu. Niko bar hapa kuna muhudumu kisu hatulii anaitwa kila meza hili jambo lina niudhi sana. sasa kama sasa hivi kahama meza na bia tulizo mnunulia,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwambie aziache hapo akimaliza kuhudumia atazikuta hapo
 
Hi Post ina comments za ukweli ila zinachekesha
 
Regardless,jamaa katoa sababu ya kweli pia!

[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye vita wanaoathirika sana sio wanajeshi...ni wanawake na watoto..

Labda vita kama za marekani ndio wanakufa wanajeshi wa kiume lakini vita za huko sirya na civil wars nyingi wanawake na watoti ndio wanakufa sana
 
cha ajabu mnasema wanawake ni wengi lkn bado wana kibao hawana hata demu mmoja,wakai hao wanawake ambao ni wengi unakuta mwanamke mmoja anamiliki mabwana watano,hesabu yake huwaga siielewi inakuwaje aisee....
Hahahahaha umenichekesha
 
Mi nataka siku mmoja wanaume tulete mgomo. Tuko wachache alafu kunakuwa Na ushindani kuwa pata mademu. Niko bar hapa kuna muhudumu kisu hatulii anaitwa kila meza hili jambo lina niudhi sana. sasa kama sasa hivi kahama meza na bia tulizo mnunulia,

Mkuu nakushusha vyeo inamana ujui passcode za kung’oa bamedi kisu anae shobokewa na walevi kibao kama uyo? Usisite kunijulisha siku nyingine nikupe tricks mbili tatu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
1. Katika uzazi, Probability ya kupata mtoto wa kiume ni ndogo kuliko mtoto wa kike hivyo watoto wa kike huzaliwa wengi kuliko wa kiume.
2. Wanaume ndio wanaofanya kazi nyingi ngumu na hatarishi kuliko wanawake mfano; uchimbaji wa madini na bodaboda.
3. Tabia/matendo hatarishi zaidi wanazo wanaume kama ya uvutaji wa sigara/tumbaku na unywaji wa pombe kali kama konyagi vinavyoathiri afya na kusababisha magonjwa ya vifo.
4. Kwa watoto chini ya miaka mitano, watoto wa kiume wako kwenye hatari zaidi ya magonjwa ukilinganisha na jinsia pinzani.
 
Back
Top Bottom