Hii ndio sababu Magenius hawawezi kuwa matapeli

Mkuu Tembo Coin imefikia wapi?
Ile project iko vizuri tu mkuu! Leone na Crypto seller wanaendelea nayo sawasawa naamini watafika mbali Mimi kwa sasa nilisafiri kizazi.

Humo kwenye group lao la telegram kwani?
 
Hapana! Nakujua you are intelligent and smart.. Tusaidie tafadhali!
Sio rahisi kumjua mtu mkuu.... mi nimeuliza hilo swali kutoka kwa niliyemqoute baada ya ye kusema atajitahidi mwanae awe genious. Nikawa interested kufahamu atawezaje kulifanikisha hilo? Otherwise sijui chochote kuhusu hili...
 
Sio rahisi kumjua mtu mkuu.... mi nimeuliza hilo swali kutoka kwa niliyemqoute baada ya ye kusema atajitahidi mwanae awe genious. Nikawa interested kufahamu atawezaje kulifanikisha hilo? Otherwise sijui chochote kuhusu hili...
Nimemsikia pia nikapigwa butwaa ulivyoquotes nikajua labda unakubaliana nae.

Tumsubiri aje atushangaze!
 
 
I'm introvert
na nipo group la kwanza yani sifa zote ulizoandika ni kama unanizungumzia Mimi ,napenda sana hesabu nimeanza kuipenda tangu shule ya msingi hadi sasa nipo chuo na ndo somo ambalo nimefahuru kuliko mengine na natamani ningekuwa nasoma hesabu tu,pia unavyomzungumia Albert Einstein's kuhusu kumudu hesabu kuliko masomo mengine kipindi Yupo chuo ni kama Mimi tu nilivyo,
pia napenda sana kujifunza vitu vipya vyipa muda wote kupita kusoma yani najikuta nasoma kila aina ya takataka sijali inahusu business, gambling,science,
pia napenda sana kusikiliza music ,kucheck movies sipendi,napenda muda mwingi kukaa peke yangu,pia muda wote nafikiria sana vitu vingi vingi ,
wakati nipo semester ya kwanza nilijishangaa sana ,na pia wanafunzi wenzangu walishangaa sana baada ya kupata 100% business mathematics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…