Hii ndio sababu Magenius hawawezi kuwa matapeli

Hii ndio sababu Magenius hawawezi kuwa matapeli

We have some differences, but I have to admit this thread is a master piece!

Japo kuna sehemu tutapingana (I know you know it), but the rest of this thing is a master class!

You fall in the same class as my tmt brother!

[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Sitaki kusema mengi sana ila nina namba yako wewe ilhali sina namba ya bosi wa TMT. Sijui hii unaitafsiri vipi but Mimi naiona kama heshima kubwa kwako kuifadhi namba yako wakati hata sikujui na wala sikupigiiagi. Its more than respect.

Na kama ulikuaga unikubali tafadhali anza Leo though sio lazma kumkubali mtu but wewe uanze Leo maana the respect I have for you is Cagonokasibility. Ni kubwa sana kwa kweli.

So don't underestimate this.
IMG_20180415_010712_348.JPG
 
genes (DNA) na mazingira yanachangia, kwa uelewa wangu.
Kwa unamaanisha it may be both.. Kwenye DNA wengi tutaelewa haraka but pale kwenye mazingira ndio utoe kidogo ufafanuzi mkuu?

Ni kwa namna gani mazingira yanachangia mtu kuwa genius?
 
Sitaki kusema mengi sana ila nina namba yako wewe ilhali sina namba ya bosi wa TMT. Sijui hii unaitafsiri vipi but Mimi naiona kama heshima kubwa kwako kuifadhi namba yako wakati hata sikujui na wala sikupigiiagi. Its more than respect.

Na kama ulikuaga unikubali tafadhali anza Leo though sio lazma kumkubali mtu but wewe uanze Leo maana the respect I have for you is Cagonokasibility. I'm always humble and humane.

So don't underestimate this.View attachment 744896
All is well chief!

I'm humbled.

[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Kwa unamaanisha it may be both.. Kwenye DNA wengi tutaelewa haraka but pale kwenye mazingira ndio utoe kidogo ufafanuzi mkuu?

Ni kwa namna gani mazingira yanachangia mtu kuwa genius?
kuna ka-article flani nilikasoma, kuhusu utafiti wazungu walifanya kwenye hiyo kitu ya genius kuwa born or made.
walichukua identical twins, ambao gene content yao inafanana, then wakatenganishwa wakiwa bado wadogo, kwa maana kwamba bado wako kwenye umri ambao hawajawa na personality zao zinazojitegemea. mmoja aliwekwa kwenye mazingira magumu kuliko mwenzake, na matokeo yakaonesha huyo aliyekuwa kwenye mazingira magumu hata IQ yake ilikuwa ndogo kuliko ya mwenzake.
 
Je ni kitu kinachoweza kufanyika.. ? genious are naturally born or made?
Ndio nikitu unachoweza kutengeneza mapema tokea mimba kuzaliwa malezi na makuzi, kila mtu amezaliwa akiwa na akili ziro lakini hukua na kuongezeka nakupanuka na kuzidi kiwango kutokana na mazingira ya makuzi na malezi. So kwa kua mimi mazingira hayakuruhusu ndio maana sikufikia kiwango cha akili nyingi, ila ninao uwezo nia na sababu kwa mwanangu kua hivyo.
 
kuna ka-article flani nilikasoma, kuhusu utafiti wazungu walifanya kwenye hiyo kitu ya genius kuwa born or made.
walichukua identical twins, ambao gene content yao inafanana, then wakatenganishwa wakiwa bado wadogo, kwa maana kwamba bado wako kwenye umri ambao hawajawa na personality zao zinazojitegemea. mmoja aliwekwa kwenye mazingira magumu kuliko mwenzake, na matokeo yakaonesha huyo aliyekuwa kwenye mazingira magumu hata IQ yake ilikuwa ndogo kuliko ya mwenzake.

Pia mazingira magumu yanaweza kumfanya mtu awe mdadisi zaidi na kugundua vitu.

Issue nyingine ni kwamba mazingira yana mchango mkubwa ktk kuidentify uwezo wa mtu na kupata nafasi ya kureveal vitu.Mfano genius aliyepo nchi zilizoendelea na yule wa nchi za dunia ya tatu, huyu wa nchi zilizoendelea ni rahisi kuonekana na kazi zake kusikika.
 
Kasome tena vizuri..kwa taarifa yako matapeli wengi wana IQ kubwa sana ndo maana wanauwezo wa kuwatapeli.
 
Kasome tena vizuri..kwa taarifa yako matapeli wengi wana IQ kubwa sana ndo maana wanauwezo wa kuwatapeli.
Kuna "highly intelligent" hawa ni magenius wenye akili kubwa na akili zao huwa ziko busy sana kuconcertrates na kitu kimoja specifically na intelligent wao akili zao ziko huru kufikri multiple things na wanafit vizuri Kwenye social world.

Kwa hiyo genius ni wehu hawana ufundi wa kutapeli kama intelligent wao ni naturally matapeli...professional zao ni siasa au conmen.

Usijali..utaelewa taratibu tu.
 
Wapo! Baba mwenye nyumba aligundua ili kumaliza wizi suluhisho ni kujenga ukuta, nafikiri sasa yuko kwenye mpango mkakati wa kuzungusha ukuta nchi nzima kulinda rasilimali vitu na rasilimali watu za nchi hii baada ya kufanya upembuzi yakinifu uliopelekea mchakato mkubwa sana kwa kiwango cha lami!
hee haya mkuu,binafsi nimekuelewa usemi wako ila mtoa uzi atoe uthibitisho,huyo mwenyewe hana jipya
 
jpm anaangukia kundi gani.. mbona sioni panakomfaa
 
Genius huwa wako anticlockwise na mambo mengi sana ya kijamii huwa wanaishi tofauti na jamii yao ndio maana hawaeleweki kirahisi na wao uishia kujitenga na jamii. Maana they are introvert.

Hivi Karibuni kumeibuka mjadala mkubwa sana huko majuu baada ya maprofesa kugawanyika kuhusu Kanye West kwamba ni genius au ni mwehu kutokana na vitu anavyovifanya na kuviongea..aliwaambia watu wachague nyimbo mbaya zaidi Duniani na atazigeuza kuwa nyimbo za kuuza album yake..watu wakachagua ngoma tatu then akazifanyia uchawi wake zikawa ndo best kwmeye album yake ya famous.

Mbali na hayo kuna vitu anavisema vinaashiria jamaa yuko ahead of our time. Yaani anaishi future.

Kanye magharibi au kanye West.
Anɗ they said... that guy "the real kanye" is dead!?
 
Naona kama kuna ukweli asilimia kubwa
Vipi magufuli na trump wanakosa kweli hilo kundi la 2, maana kama wa kwetu "(jpm) anahesabu mpaka dagaa ziwani
Huo Si ndio utapeli wenyewe!! Au
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] da sio poa
 
Je serial killer pia ni genius in criminal?
 
Ahahaha! Ndio maana hata huu Uzi haunogi kumbe tulisahau kukutag dokta dokta manyaunyau.

Inashangaza watu wanaendesha Uzi wa kipuuzi then nyuzi elimishi kama hizi wanazigwaya.
Mkuu na mimi usisahau kunitag...maana.......kuna sehemu ume touch kama unamsasambua mtu....
 
Naona kama kuna ukweli asilimia kubwa
Vipi magufuli na trump wanakosa kweli hilo kundi la 2, maana kama wa kwetu "(jpm) anahesabu mpaka dagaa ziwani
Huo Si ndio utapeli wenyewe!! Au
Nimecheka.....
 
Back
Top Bottom