Hii ndio sababu siwezi kuja kuamini miujiza ya wachungaji

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Kwa bahati mbaya sikuwa na muda wa kutengeneza documentary lakini nilishuhudia vitimbi vingi sana

Ni watu wa humo humo kanisani wanaojifanya ni wagonjwa, baada ya muda wanahamia matawi ya mbali na huko utawaona kwenye tv kwa mambo yale yale, watatoa shuhuda, watatoka hadi nje ya kanisa waki pretend mapepo yamewapanda, n.k.

Wahanga walikuwa ambao hawajui kinachoendelea, nimeshaombwa sana nauli na wamama walioshinda kanisani, mchungaji anaondoka na vx yake, anaacha watu hawana hata nauli ya kurudi nyumbani
 
Hivi kuna mtu anaamini miujiza ya hao matapeli kwa mgongo wa dini?

Kama yule wa kupuliza gesi unaanzaje kumuamini!
 
Kwa bahati mbaya sikuwa na muda wa kutengeneza documentary lakini nilishuhudia vitimbi vingi sana

Ni watu wa humo humo kanisani wanaojifanya ni wagonjwa, baada ya muda wanahamia matawi ya mbali na huko utawaona kwenye tv kwa mambo yale yale, watatoa shuhuda, watatoka hadi nje ya kanisa waki pretend mapepo yamewapanda, n.k.

Wahanga walikuwa ambao hawajui kinachoendelea, nimeshaombwa sana nauli na wamama walioshinda kanisani, mchungaji anaondoka na vx yake, anaacha watu hawana hata nauli ya kurudi nyumbani
Hayo ma futuhi yao tuliishayashitukia,
Pentecostal wao ni utaperi wa miujiza, Roman na walutheri wao ni kukusanya maokoto tu, michango kwenda mbele! Sasa hv wasipokuona kanisani,jumuiya, wanatia timu nyumba ni
 
Mkiambiwa someni neno msidanganyike muwe mnaelewa. Una imani haba tulia ufundishwe imani ya kweli usidanganyike kwa miujiza feki
 
Back
Top Bottom