Kwa bahati mbaya sikuwa na muda wa kutengeneza documentary lakini nilishuhudia vitimbi vingi sana
Ni watu wa humo humo kanisani wanaojifanya ni wagonjwa, baada ya muda wanahamia matawi ya mbali na huko utawaona kwenye tv kwa mambo yale yale, watatoa shuhuda, watatoka hadi nje ya kanisa waki pretend mapepo yamewapanda, n.k.
Wahanga walikuwa ambao hawajui kinachoendelea, nimeshaombwa sana nauli na wamama walioshinda kanisani, mchungaji anaondoka na vx yake, anaacha watu hawana hata nauli ya kurudi nyumbani