Tuletee data za kuwepo kiwanda kikubwa na cha kisasa chenye capacity sawa au kuzidi hiki cha Tanzania, ambacho kimetoa ajira ya wakenya 800, hiyo ndiyo faida ya kuwepo viwanda nchini, kutoa ajira kwa wananchi, usituletee story ya viwanda vidogo vidogo vinavyotoa ajira ya watu 20 kama hivyo vyenu na kulinganisha na kiwanda kama hiki.Kwa miaka kadhaa sasa, hivi ni vitu ambavyo vimekuwa vya kawaida sana huku Kenya. Vyakula vya kuku na vifaranga vipo excess huku Kenya. Viwanda venyewe vinazidi kuongezeka kila uchao. Tembea Nai-Namanga highway utanielewa.
Take and keep my words, Jubilee lazima watampigia magoti uncle Magu, nor other alternative.Kazi nzuri...hadi Jubilee ipate adabu 😀
Hahaha 😀 ndio mnaanza? Sisi tulishafika huko zamani sana. Ndio maana hutasikia vifaranga vinatoka Tz kuja Kenya. Ila mnajaribu. Hongera zenu.Tuletee data za kuwepo kiwanda kikubwa na cha kisasa chenye capacity sawa au kuzidi hiki cha Tanzania, ambacho kimetoa ajira ya wakenya 800, hiyo ndiyo faida ya kuwepo viwanda nchini, kutoa ajira kwa wananchi, usituletee story ya viwanda vidogo vidogo vinavyotoa ajira ya watu 20 kama hivyo vyenu na kulinganisha na kiwanda kama hiki.
Mbona hamna ajira kama mlitoka huko zamani?,mnakimbilia kuka kuajiriwa Tanzania, mkikataliwa kupewa work permit mnapata orgasm?[emoji2]Hahaha 😀 ndio mnaanza? Sisi tulishafika huko zamani sana. Ndio maana hutasikia vifaranga vinatoka Tz kuja Kenya. Ila mnajaribu. Hongera zenu.
Kimejengwa kwa $71million.Meet with SILVERLAND Industry Tanzania,
Mega poultry industry in East and Central Africa kilichopo Iringa Tanzania ambacho JPM amekizindua juzi
Ni Kiwanda chenye uwezo wa kuzalisha zaidi ya vifaranga 300,000 kwa wiki kinatengeneza chakula cha kuku na kuuza Kenya, Uganda, Ethiopia, Nigeria etc
Kina machines na technology ya kisasa ya uzalishaji wa vifaranga kwa technology ya Germany na kinatoa the best breed ya kuku na mayai (mayaye kwa wakenya)
Kinatoa ajira kwa watanzania zaidi ya 800
[HASHTAG]#HapaKaziTu[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JPMJembe[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TanzaniaYaViwanda[/HASHTAG]
View attachment 767513 View attachment 767514 View attachment 767515 View attachment 767516 View attachment 767517 View attachment 767518 View attachment 767519 View attachment 767520 View attachment 767521 View attachment 767522 View attachment 767523 View attachment 767524
Duuh!! Unaishia kupiga makelele tu.. siku izi hamna jipyaMbona hamna ajira kama mlitoka huko zamani?,mnakimbilia kuka kuajiriwa Tanzania, mkikataliwa kupewa work permit mnapata orgasm?[emoji2]
Meet with SILVERLAND Industry Tanzania,
Mega poultry industry in East and Central Africa kilichopo Iringa Tanzania ambacho JPM amekizindua juzi
Ni Kiwanda chenye uwezo wa kuzalisha zaidi ya vifaranga 300,000 kwa wiki kinatengeneza chakula cha kuku na kuuza Kenya, Uganda, Ethiopia, Nigeria etc
Kina machines na technology ya kisasa ya uzalishaji wa vifaranga kwa technology ya Germany na kinatoa the best breed ya kuku na mayai (mayaye kwa wakenya)
Kinatoa ajira kwa watanzania zaidi ya 800
[HASHTAG]#HapaKaziTu[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JPMJembe[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TanzaniaYaViwanda[/HASHTAG]
View attachment 767513 View attachment 767514 View attachment 767515 View attachment 767516 View attachment 767517 View attachment 767518 View attachment 767519 View attachment 767520 View attachment 767521 View attachment 767522 View attachment 767523 View attachment 767524
ndio wanajifunza kutembea sie tushapiga marathon tukamalizaHahaha 😀 ndio mnaanza? Sisi tulishafika huko zamani sana. Ndio maana hutasikia vifaranga vinatoka Tz kuja Kenya. Ila mnajaribu. Hongera zenu.