Hii ndio sababu why JPM bag eggs and chicken from Kenya

Hii ndio sababu why JPM bag eggs and chicken from Kenya

Ati kuku?Kenya wametuzidi na nn sikuhz Kwani [emoji16][emoji16] uchumi wetu unapaa kulishaacha kukimbia
 
Wakipiga hatua 4 tunapiga 7
Mtajua hamjui[emoji38][emoji38]
 
huwa mnaona kana kwamba sijui mko first world ila mpo maskini wa kutupwa tu...top 20 poorest countries in the world
Story za uongo na kwel izo...Sasa kwa est GDP ya $55bln na pop est 54-55millions kwa mwaka huu 2018 huoni ukiacha ushabiki ndani ya miaka miwili ijayo tunaingia lmic??incase kama unaelewa nilichoandika bila kuweka itikadi zako
 
naelewa tu ila wakati mnapotoka LDC na kuingia LMIC nataka ujiulize mbona nchi zigine kama ghana ziliwatangulia kufanya hivyo...nchi ambazo hazina rasilimali na baraka mlizo nazo...yaani kubali tu kuwa mmekuwa mkilala miaka mingi sana na itachukua muda mrefu sana ndio muwe na nchi ya kuheshimika..sasa hivi mpo bado sana
 
Siwezi kukataa tulilala maana ndio ukwel,lakini nataka uamini tumeamka na tunafanya kazi kujiinua apa tulipo kwa kiwango kizuri ...yafaa uelewe kwamba tumeamka na ndio maana naweza kukueleza haya bila kupepesa macho ...Yes tukifanya vizuri sisi haitawashusha nyie kwa lolote itawapa chachu yakuzidi kusonga mbele...itawainua waliolala nao waamke
 
Meet with SILVERLAND Industry Tanzania,

Mega poultry industry in East and Central Africa kilichopo Iringa Tanzania ambacho JPM amekizindua juzi

Ni Kiwanda chenye uwezo wa kuzalisha zaidi ya vifaranga 300,000 kwa wiki kinatengeneza chakula cha kuku na kuuza Kenya, Uganda, Ethiopia, Nigeria etc

Kina machines na technology ya kisasa ya uzalishaji wa vifaranga kwa technology ya Germany na kinatoa the best breed ya kuku na mayai (mayaye kwa wakenya)

Kinatoa ajira kwa watanzania zaidi ya 800

[HASHTAG]#HapaKaziTu[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JPMJembe[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TanzaniaYaViwanda[/HASHTAG]
View attachment 767513 View attachment 767514 View attachment 767515 View attachment 767516 View attachment 767517 View attachment 767518 View attachment 767519 View attachment 767520 View attachment 767521 View attachment 767522 View attachment 767523 View attachment 767524
Hivi umewahi kuona kuku wa Naorobi? Unajua demand ya Vifaranga Tanzania ? Hakuna kitu tunachoweza kujitosheleza sisi

Vifaranga ni shida siku hizi mwezi mzima hupati
 
naelewa tu ila wakati mnapotoka LDC na kuingia LMIC nataka ujiulize mbona nchi zigine kama ghana ziliwatangulia kufanya hivyo...nchi ambazo hazina rasilimali na baraka mlizo nazo...yaani kubali tu kuwa mmekuwa mkilala miaka mingi sana na itachukua muda mrefu sana ndio muwe na nchi ya kuheshimika..sasa hivi mpo bado sana
Ghana haina rasilimali! Bila shaka unaongelea Ghana ya Kisumu
 
Hawa Watu tukiwaambia wako in the 90s wanatokwa povu....Viwanda vya kuku vimekuwa Kenya since the 80s lakini Tz wakifungua moja in 2018 unakuwa wimbo wakuimba kila saa kama vile ukimpatia Mtoto pipi.
 
huwa mnaona kana kwamba sijui mko first world ila mpo maskini wa kutupwa tu...top 20 poorest countries in the world
Ata top 30 poorest Tanzania haipo. Achaga ujinga. Leta taharifa ya 2017 siyo habari za 2010.
 
naelewa tu ila wakati mnapotoka LDC na kuingia LMIC nataka ujiulize mbona nchi zigine kama ghana ziliwatangulia kufanya hivyo...nchi ambazo hazina rasilimali na baraka mlizo nazo...yaani kubali tu kuwa mmekuwa mkilala miaka mingi sana na itachukua muda mrefu sana ndio muwe na nchi ya kuheshimika..sasa hivi mpo bado sana
Umesahau kipindi ambacho tulisimamisha shughuli zote za maendeleo ili kuwakomboa waafrika wenzetu waliokuwa wanatawaliwa na kudhalilishwa na wazungu kusini mwa Africa?, kipindi hicho Kenya mlikuwa marafiki wakubwa wa wazungu kwa kuogopa kuwekewa vikwazo vya uchumi kama tulivyowekewa sisi na nchi za magaharibi, huko ndiko unakoita kulala?.
Sera zetu za ujamaa ndizo zinazokufanya kuiona Tanzania ina mali nyingi, tungefuata ubepari, hizi mali zote zingelikuwa hazipo na wala usingeziona, kwasababu wazungu wangechukua ardhi yote yenye mali, kama ambavyo ardhi ya Kenya na uchumi wote ulovyo mikononi mwa wanasiasa na wageni.
 
Back
Top Bottom