mkikuja hapa na story za vijiweni, mkuwe makini sana
View attachment 767681
View attachment 767682
we we here in the 80's. nyinyi bado mko chini sana.
sa mbona mlikuwa mna import toka Kenya?Kuna big poultry firms from long time
ila bado LDC nasi middle incomeπππhizi hatua 7 zikwapi?πππmbona sioniWakipiga hatua 4 tunapiga 7
Mtajua hamjui[emoji38][emoji38]
Mtaelewa taratibu tu...Ldc inaelekea kubaki storyila bado LDC nasi middle incomeπππhizi hatua 7 zikwapi?πππmbona sioni
huwa mnaona kana kwamba sijui mko first world ila mpo maskini wa kutupwa tu...top 20 poorest countries in the worldMtaelewa taratibu tu...Ldc inaelekea kubaki story
Story za uongo na kwel izo...Sasa kwa est GDP ya $55bln na pop est 54-55millions kwa mwaka huu 2018 huoni ukiacha ushabiki ndani ya miaka miwili ijayo tunaingia lmic??incase kama unaelewa nilichoandika bila kuweka itikadi zakohuwa mnaona kana kwamba sijui mko first world ila mpo maskini wa kutupwa tu...top 20 poorest countries in the world
naelewa tu ila wakati mnapotoka LDC na kuingia LMIC nataka ujiulize mbona nchi zigine kama ghana ziliwatangulia kufanya hivyo...nchi ambazo hazina rasilimali na baraka mlizo nazo...yaani kubali tu kuwa mmekuwa mkilala miaka mingi sana na itachukua muda mrefu sana ndio muwe na nchi ya kuheshimika..sasa hivi mpo bado sanaStory za uongo na kwel izo...Sasa kwa est GDP ya $55bln na pop est 54-55millions kwa mwaka huu 2018 huoni ukiacha ushabiki ndani ya miaka miwili ijayo tunaingia lmic??incase kama unaelewa nilichoandika bila kuweka itikadi zako
Siwezi kukataa tulilala maana ndio ukwel,lakini nataka uamini tumeamka na tunafanya kazi kujiinua apa tulipo kwa kiwango kizuri ...yafaa uelewe kwamba tumeamka na ndio maana naweza kukueleza haya bila kupepesa macho ...Yes tukifanya vizuri sisi haitawashusha nyie kwa lolote itawapa chachu yakuzidi kusonga mbele...itawainua waliolala nao waamkenaelewa tu ila wakati mnapotoka LDC na kuingia LMIC nataka ujiulize mbona nchi zigine kama ghana ziliwatangulia kufanya hivyo...nchi ambazo hazina rasilimali na baraka mlizo nazo...yaani kubali tu kuwa mmekuwa mkilala miaka mingi sana na itachukua muda mrefu sana ndio muwe na nchi ya kuheshimika..sasa hivi mpo bado sana
Hivi umewahi kuona kuku wa Naorobi? Unajua demand ya Vifaranga Tanzania ? Hakuna kitu tunachoweza kujitosheleza sisiMeet with SILVERLAND Industry Tanzania,
Mega poultry industry in East and Central Africa kilichopo Iringa Tanzania ambacho JPM amekizindua juzi
Ni Kiwanda chenye uwezo wa kuzalisha zaidi ya vifaranga 300,000 kwa wiki kinatengeneza chakula cha kuku na kuuza Kenya, Uganda, Ethiopia, Nigeria etc
Kina machines na technology ya kisasa ya uzalishaji wa vifaranga kwa technology ya Germany na kinatoa the best breed ya kuku na mayai (mayaye kwa wakenya)
Kinatoa ajira kwa watanzania zaidi ya 800
[HASHTAG]#HapaKaziTu[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JPMJembe[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TanzaniaYaViwanda[/HASHTAG]
View attachment 767513 View attachment 767514 View attachment 767515 View attachment 767516 View attachment 767517 View attachment 767518 View attachment 767519 View attachment 767520 View attachment 767521 View attachment 767522 View attachment 767523 View attachment 767524
Ghana haina rasilimali! Bila shaka unaongelea Ghana ya Kisumunaelewa tu ila wakati mnapotoka LDC na kuingia LMIC nataka ujiulize mbona nchi zigine kama ghana ziliwatangulia kufanya hivyo...nchi ambazo hazina rasilimali na baraka mlizo nazo...yaani kubali tu kuwa mmekuwa mkilala miaka mingi sana na itachukua muda mrefu sana ndio muwe na nchi ya kuheshimika..sasa hivi mpo bado sana
Ata top 30 poorest Tanzania haipo. Achaga ujinga. Leta taharifa ya 2017 siyo habari za 2010.huwa mnaona kana kwamba sijui mko first world ila mpo maskini wa kutupwa tu...top 20 poorest countries in the world
Umesahau kipindi ambacho tulisimamisha shughuli zote za maendeleo ili kuwakomboa waafrika wenzetu waliokuwa wanatawaliwa na kudhalilishwa na wazungu kusini mwa Africa?, kipindi hicho Kenya mlikuwa marafiki wakubwa wa wazungu kwa kuogopa kuwekewa vikwazo vya uchumi kama tulivyowekewa sisi na nchi za magaharibi, huko ndiko unakoita kulala?.naelewa tu ila wakati mnapotoka LDC na kuingia LMIC nataka ujiulize mbona nchi zigine kama ghana ziliwatangulia kufanya hivyo...nchi ambazo hazina rasilimali na baraka mlizo nazo...yaani kubali tu kuwa mmekuwa mkilala miaka mingi sana na itachukua muda mrefu sana ndio muwe na nchi ya kuheshimika..sasa hivi mpo bado sana