Hii ndio sababu ya bocco kubakizwa simba

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Taarifa za ndaaaaaniiii Kabisa zinadai Kuwa CAPTAIN FANTASTIC amebakishwa kwenye timu kwajili ya kunyanyua ndoo ya CAF CHAMPIONS LEAGUE [emoji471].

Eti atapewa THANK YOU mwishoni mwa msimu baada ya kubeba ndoo. Kama ndoo ya CAF champions haibebwi...Boko yupo sana [emoji849]
 
Makolokolo yametumia mbinu zote kukunyamazisha hadi kukupatia Pisi Kali Kalpana lakini bado tu unawapopoa daaah [emoji4]
 
Makolokolo yametumia mbinu zote kukunyamazisha hadi kukupatia Pisi Kali Kalpana lakini bado tu unawapopoa daaah [emoji4]
[emoji23][emoji23] kalpana ni m,babe mkuu....kanishinda ....manzi Gani anashabikia mpira??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…