Hii ndio sababu ya kutokuwa na hisia kwa mpenzi wako

Hauna hisia nae kwasababu una tamaa na una hulka ya kimalaya.

Jitu lenye tamaa ambalo lishakutana na wanawake wengi au wanaume wengi haliwezi kuwa na hisia kamwe zaidi ya kutamani na kutamani tena.

UZI TAYARI.
Short n' clear...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…