Hii Ndio Safari ya Mwisho ya Yanga CCL

Mkuu elimu zaid naiomba toka kwako. Ndani ya pot moja (lolote), wa juu ndo bora zaidi kuliko wa chini?
 
Best comment ya mwezi huu. Inabidi hii hoja uianzishie Uzi ili hii rekodi ikae sawa. Na wakija na kidomodomo, waambie mwakani tena tukirudi CL tutakuwa pia Pot 1 pekee yetu.
Kombe la LOOSER
 
Mkuu elimu zaid naiomba toka kwako. Ndani ya pot moja (lolote), wa juu ndo bora zaidi kuliko wa chini?
Yes. Kulingana na CAF club ranking points, the team receiving more points in the previous season is considered as the higher-ranked team. E.g Yanga 31 points, Pyramids 29.
 
Mkuu elimu zaid naiomba toka kwako. Ndani ya pot moja (lolote), wa juu ndo bora zaidi kuliko wa chini?
Hivyo ndivyo ilivyo unapoona timu ipo nafasi ya kwanza kwenye poti husika ina maana yenyewe ina pointi nyingi kuliko timu iliyochini yake yani ni bora kuliko timu ya chini yake katika hilo poti husika..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…