Hii Ndio Safari ya Mwisho ya Yanga CCL

Hii Ndio Safari ya Mwisho ya Yanga CCL

Hivyo ndivyo ilivyo unapoona timu ipo nafasi ya kwanza kwenye poti husika ina maana yenyewe ina pointi nyingi kuliko timu iliyochini yake yani ni bora kuliko timu ya chini yake katika hilo poti husika..
Na timu za Poti moja hazikutani.
Kwa kifupi kila POT I zinachukua timu moja moja kutoka POT 3 zilizobakia.
Ndio zinaunda Makundi 4 yenye timu nne nne.
Mfano;
Al Ahly
CR Belouizdad
AS FAR Rabat
Maniema Union

Zinaweza kuwa Group 1
.....
 
Club bingwa hakunaga kibonde maana hao ndo mabingwa wa ligi za nchi zao. Vibonde wapo kwenye kombe la mshikamano aka shirikisho.
Hapa nakataa. Unaweza kufuzu champions league kutokea ligi mbovu na unaweza kuwa shirikisho kwa kutokea ligi bora
 
Yanga mumepata mseleleko Sasa kazi mnayio 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DAO9o1wM3K5/?igsh=MTc5aDRia2NxbWtjag==

My Take: Safari yenu imefika mwisho

Simba wao ni wakubwa watapangwa kundi la vibonde

View: https://www.instagram.com/p/DAO5-s9PIh2/?igsh=MWFjeGlnbXJjbDY0Mw==

ungekuwa na D walau hata moja usingeandikahuu upuuzi hivi kuna timu ya kuifunga yanga kwenye hizo pot 3 na 4 kweli walau pot 1 inaweza kutoa mtu wa kumfanya yanga akajiona nashiriki klabu bingwa kwanza unatakiwa uogope yanga kuwa pot 2 pot ambayo ndo pot ya simba km angeshiriki ligi hii ya wakubwa(kichaka cha pot kishafyekwa)nxt year yanga anamtoa mtu hapo kwenye pot 1
 
Club bingwa hakunaga kibonde maana hao ndo mabingwa wa ligi za nchi zao. Vibonde wapo kwenye kombe la mshikamano aka shirikisho.
Ni sawa na kusema chuo kikuu hakunaga wa mwisho, kisa kila mtu alikuwa kipanga alikotoka..!!! Kuna ukibonde wa kombe lipi upo, na kuna ukibonde wa wewe wa ngapi kwenye poti lenu
 
Bila shaka haelewi, anadhani yanga atakutana na timu zote za pot no 1.

Sijui kawaza nini hadi kuandika hivyo.
Huyu alichokielewa ni kwamba hiyo pot 2 ni sawa sawa na kundi. Hivyo yeye kaona kundi la Yanga ndilo hilo kuna Pyramids, Raja, na Belouizdad.
 
Back
Top Bottom