Ndio mkuuMkuu elimu zaid naiomba toka kwako. Ndani ya pot moja (lolote), wa juu ndo bora zaidi kuliko wa chini?
Na timu za Poti moja hazikutani.Hivyo ndivyo ilivyo unapoona timu ipo nafasi ya kwanza kwenye poti husika ina maana yenyewe ina pointi nyingi kuliko timu iliyochini yake yani ni bora kuliko timu ya chini yake katika hilo poti husika..
Kwani siyo kweli?Kichwa maji
Yanga mumepata mseleleko Sasa kazi mnayio ππ
View: https://www.instagram.com/p/DAO9o1wM3K5/?igsh=MTc5aDRia2NxbWtjag==
My Take: Safari yenu imefika mwisho
Simba wao ni wakubwa watapangwa kundi la vibonde
View: https://www.instagram.com/p/DAO5-s9PIh2/?igsh=MWFjeGlnbXJjbDY0Mw==
Hapa nakataa. Unaweza kufuzu champions league kutokea ligi mbovu na unaweza kuwa shirikisho kwa kutokea ligi boraClub bingwa hakunaga kibonde maana hao ndo mabingwa wa ligi za nchi zao. Vibonde wapo kwenye kombe la mshikamano aka shirikisho.
ππππ jamaa anafikiri jayo ndio makundiNina uhakika hata ulichokileta haukielewi
Yanga kuingia robo fainali ni uhakika. Pot 1 wote tunatoshana nao nguvu, pot 3 na 4 tunapiga nje ndani.Yanga mumepata mseleleko Sasa kazi mnayio ππ
View: https://www.instagram.com/p/DAO9o1wM3K5/?igsh=MTc5aDRia2NxbWtjag==
My Take: Safari yenu imefika mwisho
Simba wao ni wakubwa watapangwa kundi la vibonde
View: https://www.instagram.com/p/DAO5-s9PIh2/?igsh=MWFjeGlnbXJjbDY0Mw==
ungekuwa na D walau hata moja usingeandikahuu upuuzi hivi kuna timu ya kuifunga yanga kwenye hizo pot 3 na 4 kweli walau pot 1 inaweza kutoa mtu wa kumfanya yanga akajiona nashiriki klabu bingwa kwanza unatakiwa uogope yanga kuwa pot 2 pot ambayo ndo pot ya simba km angeshiriki ligi hii ya wakubwa(kichaka cha pot kishafyekwa)nxt year yanga anamtoa mtu hapo kwenye pot 1Yanga mumepata mseleleko Sasa kazi mnayio ππ
View: https://www.instagram.com/p/DAO9o1wM3K5/?igsh=MTc5aDRia2NxbWtjag==
My Take: Safari yenu imefika mwisho
Simba wao ni wakubwa watapangwa kundi la vibonde
View: https://www.instagram.com/p/DAO5-s9PIh2/?igsh=MWFjeGlnbXJjbDY0Mw==
Ni sawa na kusema chuo kikuu hakunaga wa mwisho, kisa kila mtu alikuwa kipanga alikotoka..!!! Kuna ukibonde wa kombe lipi upo, na kuna ukibonde wa wewe wa ngapi kwenye poti lenuClub bingwa hakunaga kibonde maana hao ndo mabingwa wa ligi za nchi zao. Vibonde wapo kwenye kombe la mshikamano aka shirikisho.
Naona Simba inaweka rekodi nyingine hapa.. Simba inekuwa timu ya kwanza Tanzania kuwahi kuwekwa Pot 1.
Huyu alichokielewa ni kwamba hiyo pot 2 ni sawa sawa na kundi. Hivyo yeye kaona kundi la Yanga ndilo hilo kuna Pyramids, Raja, na Belouizdad.Bila shaka haelewi, anadhani yanga atakutana na timu zote za pot no 1.
Sijui kawaza nini hadi kuandika hivyo.