Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu
Hii ndio sahihi ya Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kwenye noti mpya zilizoanza kutumika Februari 2025 kama ilivyotangazwa wiki kadhaa zilizopita.
Soma: Tanzania yazindua Noti Mpya toleo la 2010 zenye Saini ya Waziri Mwigulu Nchemba na Gavana Emmanuel Tutuba
Noti ya elfu 5 (5,000/-)
Noti ya elfu 10 (10,000/-