Hii ndio sahihi ya Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kwenye noti mpya zilizoanza kutumika Februari

Sawa sawa hongera kwao Kwa kuweka signature kwenye pesa ni achievement kwao
 
Wanyaturu watu wa ajabu sana,
Huko Kilimanjaro wafuatao waliwahi kuwa mawaziri wa fedha na Gavana wa BoT ili hawakuwa washamba.
1. Cleopa Msuya
2. Basil Mramba
3. Zakhia Majid
4. Edwin Mtei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…