Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Katika hili lazima tuwe wawazi.
Katika taifa hili ili tuweze kupata maendeleo yanayoeleweka duniani.
Lazima tujijengee uwezo wa kufanya kazi na biashara zinazo eleweka. Sio kujiajiri kwa kuendesha bodaboda. Jamani hata serikali ina support kujiajiri kwa namna hiyo.
Hii ndio sera tunayoitaka, Kujiajiri katika fani uliyosomea kwa maendeleo endelevu ya sayansi na teknolojia nchini..