Hii ndio Siri ya mafanikio isiyosemwa sana Yanga.
Wewe una onaje?Kwani Yanga imefanikiwa?
Sio kwamba naona, sioni! Ungebadili swaliWewe una onaje?
Apewe maua yakeView attachment 2809487
Ni Engineer HERSI SAID,
Raisi wa Klabu ya Yanga.
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa Ili [Nchi] iendelee inahitaji vitu vinne, WATU, ARDHI, SIASA SAFI na UONGOZI BORA.
Katika vyote hivyo Cha muhimu zaidi ni Uongozi Bora.
Yanga chini Mheshimiwa Raisi HERSI wamelithibitisha hili.
HERSI Huwa hatamkwi Sana,.Lakini ndiye msingi mkubwa wa maendeleo ya Klabu ya Yanga.
Mpeni maua yakeeeee!
Engineer HERSI, you are My Icon, Endelea kuupiga mwingi.
Sasa kama hauoni utaonaje?Sio kwamba naona, sioni! Ungebadili swali
Hajafanikiwa ndugu Mwakarobo.....Sio kwamba naona, sioni! Ungebadili swali
Sitaona 😁Sasa kama hauoni utaonaje?
Bado hujasema,na lazima utasemaKwani Yanga imefanikiwa?
Kipofu hawezi ona,ataonaje?Sasa kama hauoni utaonaje?
Kaa hivyo hivyoSitaona [emoji16]
Kwa wachezaji gani? kipindi kile Yanga ina forward Nchimbi na Molinga huku Simba ina Kagele, OkwiSiyo kweli. Utawala wa timu unaendana na utawala wa siasa ulioko madarakani. Tujiulize Hersi na GSM wamekuja lini Yanga na walifanya nini enzi za mwenda zake. Walisubiri hadi akaondoka ndo wakafanya vizuri ndani na nje. Manji alitamba kipindi gani?
Shida, Nabii hakubaliki kwao.Mwamba anaupiga mwingi mpaka unamwagika,natamani hapo baadae Inshaallah aje kuwa Rais wa TFF (Ila baada ya kuipa Yanga[emoji172][emoji169][emoji123] Makombe 10+ ya ligi,na walau makombe ma 3+ ya CAF)
Uongozi Bora,Mabadiliko ya Kimuundo na Kiutendaji,Uwazi,Ushirikishwaji,Usasa (mbinu za kuongoza futbori la kileo),Kiu ya Mafanikio aliyonayo Eng. Hersi,Upendo kwa wachezaji na viongozi wenzie,Hamasa na Motisha kwa wachezaji ni baadhi kati ya mengi yanayomsaidia Eng. Hersi kupata mafanikio akiwa Young Africans.
Vilabu na viongozi wa timu zngne Bongo,Afrika Mashariki na Kati ipo tuition kubwa wanapaswa wajifunze kwa huyu Mwamba,tumpe maua yake kabla hajanyakuliwa na chama na serikali (kiddin[emoji3])
Kongole kwa Muwekezaji GSM,Kongole kwako Eng.,hata wasipokuimba leo watakuimba kesho kama mfalme wa transformation
Sawa, naungana na wewe kwenye hizi pongezi. Ni kweli kabisa chini ya uongozi wake, Yanga imepata mafanikio makubwa ndani ya uwanja. Mfano kuchukua ubingwa wa Ligi kuu kwa mara 2 mfululizo, kucheza fainali kombe la Shirikisho Afrika kwa mara ya kwanza kabisa katika historia, nk.View attachment 2809487
Ni Engineer HERSI SAID,
Raisi wa Klabu ya Yanga.
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa Ili [Nchi] iendelee inahitaji vitu vinne, WATU, ARDHI, SIASA SAFI na UONGOZI BORA.
Katika vyote hivyo Cha muhimu zaidi ni Uongozi Bora.
Yanga chini Mheshimiwa Raisi HERSI wamelithibitisha hili.
HERSI Huwa hatamkwi Sana,.Lakini ndiye msingi mkubwa wa maendeleo ya Klabu ya Yanga.
Mpeni maua yakeeeee!
Engineer HERSI, you are My Icon, Endelea kuupiga mwingi.