Ni Engineer HERSI SAID,
Raisi wa Klabu ya Yanga.
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa Ili [Nchi] iendelee inahitaji vitu vinne, WATU, ARDHI, SIASA SAFI na UONGOZI BORA.
Katika vyote hivyo Cha muhimu zaidi ni Uongozi Bora.
Yanga chini Mheshimiwa Raisi HERSI wamelithibitisha hili.
HERSI Huwa hatamkwi Sana,.Lakini ndiye msingi mkubwa wa maendeleo ya Klabu ya Yanga.
Mpeni maua yakeeeee!
Engineer HERSI, you are My Icon, Endelea kuupiga mwingi.