Hii ndio suluhisho la mshaara mdogo!

Hii ndio suluhisho la mshaara mdogo!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,074
Kama unafanya kazi sehemu na umekuwa ukilipwa ujira mdogo ambao unaona kabisa haukidhi mahitaji yako!na boss hana mpango wowote wa kukuongezea mshahara Fanya hivi!
Fungua kampuni yako ujilipe mshahara ambao unaona utakutosha!
Na log off

Sent by Diaspora
 
aisee watumishi wa uma tutakejeliwa hadi tukome kushabikia ccm
 
Back
Top Bottom