Design Your Idea Senior Member Joined Jun 3, 2024 Posts 154 Reaction score 480 Aug 3, 2026 #1 Mdada wa kisomalia mjihad na ana support vikundi ya kigaidi Jamaa wa kiarabu, mkomonisti anaepinga marekani na kumsifia china Mwingine huyo kutoka asia, ana support ushoga wa kuvuka mipaka na kuruhusu wanaume trans kuingilia michezo ya wasichna pure US is cooked, soon magharibi wataona moto kwa kuruhusu uhamiaji holela.
Mdada wa kisomalia mjihad na ana support vikundi ya kigaidi Jamaa wa kiarabu, mkomonisti anaepinga marekani na kumsifia china Mwingine huyo kutoka asia, ana support ushoga wa kuvuka mipaka na kuruhusu wanaume trans kuingilia michezo ya wasichna pure US is cooked, soon magharibi wataona moto kwa kuruhusu uhamiaji holela.
Bwana Utam JF-Expert Member Joined Feb 15, 2016 Posts 20,546 Reaction score 38,093 Aug 3, 2026 #2 Kwani wenyewe wazawa wa asili wa us wakowapi
Design Your Idea Senior Member Joined Jun 3, 2024 Posts 154 Reaction score 480 Aug 3, 2026 Thread starter #3 Bwana Utam said: Kwani wenyewe wazawa wa asili wa us wakowapi Click to expand... Wazawa wamefanyiwa revolution katika chama hiki , misingi ya kimarekani imepigwa chini mkuu. Chama kilichobakia cha US pure ni republican
Bwana Utam said: Kwani wenyewe wazawa wa asili wa us wakowapi Click to expand... Wazawa wamefanyiwa revolution katika chama hiki , misingi ya kimarekani imepigwa chini mkuu. Chama kilichobakia cha US pure ni republican
Financial Analyst JF-Expert Member Joined Nov 27, 2017 Posts 2,404 Reaction score 5,682 Aug 3, 2026 #4 Ulivyotaja uchapati cocastic na Yoda wamefurahia sana😆