matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Kumuelewa Putin inabidi angalau uwe umesoma kakitabu kadogo kanaitwa Arts of War by Tsu Nzu.
Siku ya jaribio la mapinduzi la mchongo lililofanyika Jana na Majeshi ya Wagner ilikuwa ni siku maalumu ambayo wameitumia kusogeza majeshi ya Wagner kilometer 100 kuelekea Kiev. Yaani kama kiev ingekuwa Kariakoo, Jamaa wametoka Moro sasa wako chalinze.
Hii ni kwa mujibu wa wachambuzi.
Mengi tutasikia. Dunia ilipofikia kila kitu kifuatilie kwa upeo wa nyuzi 360.