Hii ndio tafsiri ya kilichotokea katika jaribio la mapinduzi lililofanyika na Majeshi ya Wagner

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368


Kumuelewa Putin inabidi angalau uwe umesoma kakitabu kadogo kanaitwa Arts of War by Tsu Nzu.

Siku ya jaribio la mapinduzi la mchongo lililofanyika Jana na Majeshi ya Wagner ilikuwa ni siku maalumu ambayo wameitumia kusogeza majeshi ya Wagner kilometer 100 kuelekea Kiev. Yaani kama kiev ingekuwa Kariakoo, Jamaa wametoka Moro sasa wako chalinze.

Hii ni kwa mujibu wa wachambuzi.

Mengi tutasikia. Dunia ilipofikia kila kitu kifuatilie kwa upeo wa nyuzi 360.
 
Mkuu hebu elezea kidogo zaidi, wameitumiaje hiyo siku kusogeza majeshi yao Kiev
 
I second you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…