Uchaguzi 2020 Hii ndio tafsiri yake upinzani umekufa

Uchaguzi 2020 Hii ndio tafsiri yake upinzani umekufa

Tutamhujumu Magufuli mpaka aombe poo. Yani hakuna rangi ataacha kuona
Hahah hamna SERA.. tulieni jipangeni

Lissu Simpendi mngeweka mgombea mwingine angalau ila SIO yule MSALITI.

Chadema nawakubali sana ila LISU HAPANAA.. hapewi hata UDIWANI
 
Baada ya kuona watu waliokuwa wanajazana kumuangalia mgombea aliyetoka Ulaya, wengi wa makamanda wakawa wanauliza tuliambiwa upinzani umekufa mbona haujakufa, mkaambiwa kuweni makini hao ni amsha amsha hakuna mpiga kura hapo...

Kilochobaki sasa abadilishwe awe rais wa maisha.

Japo maisha yake atayamalizia kwenye cell moja na omar bashir
 
Upinzani usitizamwe kama chadema,act,......upinzani ni zaidi ya vyama. Ukitaka upinzani ufe lazima uuwe na wanayempinga.
Hakuna upinzani wengi wanapenda amani ndio maana mpaka muda huu upo unaweza kuandika hiki ulichoandika
 
Baada ya kuona watu waliokuwa wanajazana kumuangalia mgombea aliyetoka Ulaya, wengi wa makamanda wakawa wanauliza tuliambiwa upinzani umekufa mbona haujakufa, mkaambiwa kuweni makini hao ni amsha amsha hakuna mpiga kura hapo.

Leo hii baada ya baadhi ya majimbo matokeo yake kutangazwa moja kwa majibu yenu yamepatikana kuwa upinzani marigio chee.

OMBI MAALUMU;
Tujitokeze kwa wingi siku ya kuapishwa Rais wetu kipenzi aliyevunja rekodi ya kura, ili atupe maendeleo uchaguzi umekwisha tujikite kwenye maendeleo.

NB: Pesa itarudi mtaani mishahara itaongezwa bila kusahau bima ya afya kwa kila mtanzania na vile vijiji 2000 na ushee kumaliziwa umeme wa REA maendeleo hayana vyama!
Kuhusu Pesa kurudi mtaani sahau Hilo.Nawashauri watu wanunue jinsi ngumu.Kuna uwezekano ndani ya miaka kadhaa inaweza kuwa ngumu hata kununua nguo
 
Kuna watu mnasema hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuipigia kura ccm,
Tatizo ni kuamini Chadema inapendwa na Watanzania wote!

Pia Kuna huu usemi Chadema ina watu wanaojitambua kuliko wanachama wa vyama vingine huo tunauita ujuaji usio na faida na mfano wake tarehe 28.

Mnasema wananchi wameichoka Ccm je Chadema inapendwa na Watanzania wote?
Naamini Chadema inapendwa na baadhi tu ya wanachama wake.

Chama cha watu wakali, wenye jazba km za mgombea toka Ulaya, lila kitu wanajua, mawakili wasomi nk.

Ni yeye" imefikia tamati hongera kwa kushiriki uchaguzi na karibu tena.
 
Vyama vya upinzani vinaweza kufa ila upinzani haujafa kwani upinzani wa kweli hauko katika vyama
 
Kuhusu Pesa kurudi mtaani sahau Hilo.Nawashauri watu wanunue jinsi ngumu.Kuna uwezekano ndani ya miaka kadhaa inaweza kuwa ngumu hata kununua nguo
Kila mmoja yupo huru na mtazamo hazuiwi kutoa maoni!
 
Kuna watu mnasema hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuipigia kura ccm,
Tatizo ni kuamini Chadema inapendwa na Watanzania wote!

Pia Kuna huu usemi Chadema ina watu wanaojitambua kuliko wanachama wa vyama vingine huo tunauita ujuaji usio na faida na mfano wake tarehe 28.

Mnasema wananchi wameichoka Ccm je Chadema inapendwa na Watanzania wote?
Naamini Chadema inapendwa na baadhi tu ya wanachama wake.

Chama cha watu wakali, wenye jazba km za mgombea toka Ulaya, lila kitu wanajua, mawakili wasomi nk.

Ni yeye" imefikia tamati hongera kwa kushiriki uchaguzi na karibu tena.
Hilo wala halihitaji shule kulitambua!
 
Upinzani haujafa umeuwawa. CCM na serikali yake ndio wauaji.
 
Back
Top Bottom