Pilot_In_Command
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,507
- 3,442
Hahah hamna SERA.. tulieni jipangeniTutamhujumu Magufuli mpaka aombe poo. Yani hakuna rangi ataacha kuona
Baada ya kuona watu waliokuwa wanajazana kumuangalia mgombea aliyetoka Ulaya, wengi wa makamanda wakawa wanauliza tuliambiwa upinzani umekufa mbona haujakufa, mkaambiwa kuweni makini hao ni amsha amsha hakuna mpiga kura hapo...
Kila mmoja wenu anatamani haya lakini kamwe halitotokea!Kilochobaki sasa abadilishwe awe rais wa maisha.
Japo maisha yake atayamalizia kwenye cell moja na omar bashir
Hakuna upinzani wengi wanapenda amani ndio maana mpaka muda huu upo unaweza kuandika hiki ulichoandikaUpinzani usitizamwe kama chadema,act,......upinzani ni zaidi ya vyama. Ukitaka upinzani ufe lazima uuwe na wanayempinga.
Ama kwa hakika kabisa!Watanzania wamekataa upinzani wa kupinga kila kitu. Maendeleo yanacheleweshwa na upinzani unaokesha kubuni mbinu za kupinga maendeleo...
Kuhusu Pesa kurudi mtaani sahau Hilo.Nawashauri watu wanunue jinsi ngumu.Kuna uwezekano ndani ya miaka kadhaa inaweza kuwa ngumu hata kununua nguoBaada ya kuona watu waliokuwa wanajazana kumuangalia mgombea aliyetoka Ulaya, wengi wa makamanda wakawa wanauliza tuliambiwa upinzani umekufa mbona haujakufa, mkaambiwa kuweni makini hao ni amsha amsha hakuna mpiga kura hapo.
Leo hii baada ya baadhi ya majimbo matokeo yake kutangazwa moja kwa majibu yenu yamepatikana kuwa upinzani marigio chee.
OMBI MAALUMU;
Tujitokeze kwa wingi siku ya kuapishwa Rais wetu kipenzi aliyevunja rekodi ya kura, ili atupe maendeleo uchaguzi umekwisha tujikite kwenye maendeleo.
NB: Pesa itarudi mtaani mishahara itaongezwa bila kusahau bima ya afya kwa kila mtanzania na vile vijiji 2000 na ushee kumaliziwa umeme wa REA maendeleo hayana vyama!
Sasa hivi hakuna kisingizio tenaWatanzania wamekataa upinzani wa kupinga kila kitu. Maendeleo yanacheleweshwa na upinzani unaokesha kubuni mbinu za kupinga maendeleo...
Ni vizuri muainishe vitu ambavyo mtafanya isije fika 25 mkakana kuwa hamkuahidiHilo halina mjadala!
Kila mmoja yupo huru na mtazamo hazuiwi kutoa maoni!Kuhusu Pesa kurudi mtaani sahau Hilo.Nawashauri watu wanunue jinsi ngumu.Kuna uwezekano ndani ya miaka kadhaa inaweza kuwa ngumu hata kununua nguo
Kipindi cha kwanza asilimia 80 imetekelezwa!Ni vizuri muainishe vitu ambavyo mtafanya isije fika 25 mkakana kuwa hamkuahidi
Hilo wala halihitaji shule kulitambua!Kuna watu mnasema hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuipigia kura ccm,
Tatizo ni kuamini Chadema inapendwa na Watanzania wote!
Pia Kuna huu usemi Chadema ina watu wanaojitambua kuliko wanachama wa vyama vingine huo tunauita ujuaji usio na faida na mfano wake tarehe 28.
Mnasema wananchi wameichoka Ccm je Chadema inapendwa na Watanzania wote?
Naamini Chadema inapendwa na baadhi tu ya wanachama wake.
Chama cha watu wakali, wenye jazba km za mgombea toka Ulaya, lila kitu wanajua, mawakili wasomi nk.
Ni yeye" imefikia tamati hongera kwa kushiriki uchaguzi na karibu tena.