Hii ndio target yangu kabla kuacha kazi/Ajira

October man

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Posts
3,635
Reaction score
5,012
Saloot

Leo ngoja ni-share na nyie wana jukwaa mipango/Focus zangu na nyie wanajukwaa.

Binafsi endapo nitaajiriwa baadae nitaacha kazi tu sitozeeka kwenye kazi ila sitaacha kazi kizembe...story nyingi nazoziona mtu anaacha kazi hana hata Duka la million 1 that not healthy kwakweli.

Focus yangu, nitaacha kazi pale tu nitapojilizisha ninamiliki Biashara sichini ya 3 zenye mtaji isiyopungua 25M kilamoja ambayo kila Biashara moja inaingiza minimum 4M/Month So Biashara zote tatu zinanipa minimum ya 12M per month as turnover hapo ndipo nitaacha kazi rasmi nakwenda kuendelea na Investment life....

Mbarikiwe ngoja niwai Ferry kuangalia Meli na pantoni.
 
Kwa hayo malengo yako, basi utaishi maisha ya kuajiriwa milele.
 
..Brother nikuambie kitu

Kabla ya kuanzisha hizo biashara 4 je kuna biashara mojawapo unayoifahamu vyema katika hizo 4?

Kwa mtaji wa mil25 for a once project izo hela unazitolea wapi na misharaha inajulikana ilivyo.

Biashara zipi za kukupa 4m per a single month? Mchanganuo wake unaujua vyema

NB:Biashara za kwenye fikra ziko tofauti na physical business for 75%
Trust me.
 
Yaani unapanga kuacha kazi Kabla hata hujapata ajira? Are you serious? Unataka kuwa mfanya biashara wa aina hiyo afu unataka kuajiriwa? Unajua mishahara ya kwenye ajira then uwe na business za 25m afu ziwe 3! Everything is possible lakini jaribu kuzichanga upya achana na maswala ya kuajiriwa hasa uticha ndo kabisaaa
 
Kipaji nlichokiona kwa mtoa mada, ni kwamba mtoa mada ni mwana fasihi mzuri...
Yani ameamua kutumia lugha ya mafumbo kufikisha ujumbe kwa hadhira, kuwa ataajiriwa mpaka siku pumzi itakapokata.
Kila la kheri kwenye kazi yako utunzi...
 
Kipaji nlichokiona kwa mtoa mada, ni kwamba mtoa mada ni mwana fasihi mzuri...
Yani ameamua kutumia lugha ya mafumbo kufikisha ujumbe kwa hadhira, kuwa ataajiriwa mpaka siku pumzi itakapokata.
Kila la kheri kwenye kazi yako utunzi...
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kwa huu upuuzi uliouandika nakuombea kwa Mungu uajiriwe halafu ufanye hizo biashara za faida za milioni 12 kwa mwezi halafu uache Nazi...kila LA heri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…