Saloot
Leo ngoja ni-share na nyie wana jukwaa mipango/Focus zangu na nyie wanajukwaa.
Binafsi endapo nitaajiriwa baadae nitaacha kazi tu sitozeeka kwenye kazi ila sitaacha kazi kizembe...story nyingi nazoziona mtu anaacha kazi hana hata Duka la million 1 that not healthy kwakweli.
Focus yangu, nitaacha kazi pale tu nitapojilizisha ninamiliki Biashara sichini ya 3 zenye mtaji isiyopungua 25M kilamoja ambayo kila Biashara moja inaingiza minimum 4M/Month So Biashara zote tatu zinanipa minimum ya 12M per month as turnover hapo ndipo nitaacha kazi rasmi nakwenda kuendelea na Investment life....
Mbarikiwe ngoja niwai Ferry kuangalia Meli na pantoni.