Tcu imekuwa too much in connection failed hivi ni kwa nini? Kama tatizo ni watumiaji wengi ni kwa nini wasiongeze wigo wa teknokojia ili tupate huduma bora kwa wakati wote! au wana malengo gani na watanzania nimeenda kwenye net mambo ni vilevile na simu hali kadhalika nimeishiwa pozi, wahusika sikilizeni kilio chetu!