Hii Ndio TOP 10 Yangu Ligi Kuu Tanzania Bara [VPL] 2019/2020..

na hao kwasukwasu namba tatu umewapendelea sana
 
Pamoja Azam ndy timu kubwa
 
Hongera mkuu.

Yangu mimi nisingemuacha namungo
 
Umetabiri vizuri kwa kuwa TFF wameshatengeneza zingira kwa Mikia FC
 
Simba mwisho wa msimu atakua amekusanya aidha magoli 100 au points 100 au vyote kwa pamoja
 
Umetabiri vizuri kwa kuwa TFF wameshatengeneza zingira kwa Mikia FC
Hizi tabia zenu za kike na lawama zitawaisha lini?..
Mazingira gani ambayo wewe unayaona tofauti na Ruvu kuonewa waziwazi lakini Yanga ndio mnalaumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…