Hii ndio top play list yangu ya leo kwenye Phone inbox(SmS)

Hii ndio top play list yangu ya leo kwenye Phone inbox(SmS)

Sishindani nazo ila ndio kazi niliyoijia Duniani maisha yenyewe mafupi haya nikifa itakuwa hajari kazini
Jusus Christ of Nazareth!! . unasahau kuwa mungu ametuleta duniani ili tumtumikie, tumdifu na kumuabudu ..hiyo ndyo vital role [emoji41][emoji41]
 
Hahah Zero IQ ndio baharia Mwandamizi wa Sekta ya kuvua na kupiga mkuyenge! Angalia Chips zisikupeleke futi 6 kabla ya wakati Baharia mwenzangu.

Ila mtoto wakike na chips kuku dah [emoji23][emoji23][emoji23] na zitawavuka sana mwaka huu.
Ata bila chips futi 6 lazim
 
Back
Top Bottom