Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,530
- 3,422
mi pia nahitaji kujuaNajiconnect vp kwenye hii Infinix yangu mkuu
Zipo za bure na za kulipia kwahiyo the choice is yours.Najiconnect vp kwenye hii Infinix yangu mkuu
Em ziweke hapa hizo VPNZipo za bure na za kulipia kwahiyo the choice is yours.
unataka ya niniNajiconnect vp kwenye hii Infinix yangu mkuu
VPN zipo nyingi za kununua na bure hata kwenye stores za simu zipo ,kikubwa ujue unahitaji kwa kazi gani .Najiconnect vp kwenye hii Infinix yangu mkuu
Google PlayNajiconnect vp kwenye hii Infinix yangu mkuu
Unawewesekaaa nn sasaaaKwa ufupi, vpn( virtual private network) siyo salama sana na hio haimaanishi serikali ikikutaka haitakupata.
VPN kazi yake ni kuficha IP address yako, ila tambua mtandao unaotumia wa simu mfano tigo au voda wanaweza nasa mawimbi yako ya internet ikiwa utakuwa uko Tanzania na unatumia hii mitandao ya simu katika ku access internet.
Na je utatambuaje kama haupo salama hata kama unatumia VPN, ukiona vpn yako baadhi ya muda inakwama kwama hapo tambua haupo salama, pia ukiona inachukuwa muda mrefu au sanyongine inajizima pia jua haupo salama. Baadhi ya vpn zimekuwa zikitumika kuuza data za watumiaji wao. Baadhi ni kama proton, hola, onavo, hotspot, rabbit, super, fast nakadhalika.
STAY SAFE OUT THERE.
VPN za bure mara nyingi hukusanya data ili kujipatia mapato, kwani zinahitaji kugharamia gharama za seva. Hii inaweza kujumuisha kuuza data zako kwa watangazaji au kushiriki na washirika wa tatu.Unawewesekaaa nn sasaaa
Sio kwa ubaya ila watoa huduma wanalog maelezo ya muunganisho wako, ikiwa ni pamoja na minara iliyotumiwa, ambayo inaweza kufichua eneo lako. Refer ile scenerio ya lisuWatu hawatumii vpn kwa ajili ya usalama, bali kwa ajili kupeana habari...
Umekuja kutisha watu sio.?
Ujinga mwingine! Hivi unadhani watu wanazitumia ili wajifiche au ni kwa sababu huwezi ku-access unachotaka bila kutumia VPN? Kama ni kuogopa mbona tunaweza kusajili namba zisizo na majina yetu halisi?VPN za bure mara nyingi hukusanya data ili kujipatia mapato, kwani zinahitaji kugharamia gharama za seva. Hii inaweza kujumuisha kuuza data zako kwa watangazaji au kushiriki na washirika wa tatu.