umesoma it ya wapiKwa ufupi, vpn( virtual private network) siyo salama sana na hio haimaanishi serikali ikikutaka haitakupata.
VPN kazi yake ni kuficha IP address yako, ila tambua mtandao unaotumia wa simu mfano tigo au voda wanaweza nasa mawimbi yako ya internet ikiwa utakuwa uko Tanzania na unatumia hii mitandao ya simu katika ku access internet.
Na je utatambuaje kama haupo salama hata kama unatumia VPN, ukiona vpn yako baadhi ya muda inakwama kwama hapo tambua haupo salama, pia ukiona inachukuwa muda mrefu au sanyongine inajizima pia jua haupo salama. Baadhi ya vpn zimekuwa zikitumika kuuza data za watumiaji wao. Baadhi ni kama proton, hola, onavo, hotspot, rabbit, super, fast nakadhalika.
STAY SAFE OUT THERE.
Nenda playstore download vpn kisha jiungemi pia nahitaji kujua
Kuna hii 1.1.1.1 unalipia 2500 tu kwa mwezi Ina Kasi sana yaaniYeah upo sahihi , vpn zilizo salama nyingi ni zakulipia .
Afu ile Tor imeanza kusumbua, vipi inakuaje? Em nielekeze kwan VINKuna hii 1.1.1.1 unalipia 2500 tu kwa mwezi Ina Kasi sana yaani
SasawaWatu hawatumii vpn kwa ajili ya usalama, bali kwa ajili kupeana habari...
Umekuja kutisha watu sio.?
mi pia nahitaji kujua
Kwangu Tor inafanya kazi fresh embu nieleweshe fresh inakusumbua vipi nikuelekeze vizuriAfu ile Tor imeanza kusumbua, vipi inakuaje? Em nielekeze kwan VIN
Ujinga mwingine! Hivi unadhani watu wanazitumia ili wajifiche au ni kwa sababu huwezi ku-access unachotaka bila kutumia VPN? Kama ni kuogopa mbona tunaweza kusajili namba zisizo na majina yetu halisi?