Hii ndio Yatch party ya Diamond ?

Njoo kwangu nikushtue usijali
 
Dada mtu alikuwa kalowa na chupi lake,akawa anakata mauno huku Mondi na wana wake wakichekelea tu!
Mambo ya beach hayo , mbona huku ulaya ni mambo ya kawaida , kwani nyie mko dunia ya ngap?
 
Wew elimu yako inakusaidia nini ? Mbona we m'beya wa kutupa ...ao una degre ya umbea...[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]

Phd ya umbea
 

Haha hata mademu ambao huwakojolea huyu kijana ni ushahidi tosha hana class. Huwa abagui papuchii
 
Wait a minute....

Kwani, hao ‘wanawake wa uswazi’ wao si binadamu wanaostahili kufurahia maisha kama binadamu wengine ambao si wa ‘uswazi’?

Huyo Juma Lokole naye si binadamu?

Dhana potofu ya kudhani kwamba baadhi ya binadamu hawastahili mambo flani flani ni ya kipumbavu sana.

Binadamu ni binadamu tu. Ubinadamu wake haupimwi na hali yake ya kimaisha, eneo aishipo, au vigezo vingine vilivyo vya kijinga namna hiyo.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…