Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Dada mtu alikuwa kalowa na chupi lake,akawa anakata mauno huku Mondi na wana wake wakichekelea tu!ehhhhee hebu toa ubuyu taratibu wamefanyaje mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada mtu alikuwa kalowa na chupi lake,akawa anakata mauno huku Mondi na wana wake wakichekelea tu!ehhhhee hebu toa ubuyu taratibu wamefanyaje mkuu
Njoo kwangu nikushtue usijaliJamani , nilivyosikia party ya diamond kiingilio dollar mia tano, wacha pressure inipande warumi Mimi , nikajua itakua party ya kufa mtu , nikategemea kuona party itakua level ya kistaa kama alivyo diamond mwenyewe, nikategemea kuona watu wazito wenye heshima zao .
Diamond Ana pesa Ila hanaga class, yani yupo yupo tu, Leo ndo nimeamini money can not buy classy , yani party ya dollar 500 mpaka akina juma lokole wapo? Diamond excuse me , next time ujipange, umejaza mijanamke ya uswazi hawana mbele wala nyuma, diamond should learn from other celebrities , aache mazoea na watu wa kipumbavu
Party ya kiswazi, uchafu mtu , wanawake wachafu, mpangilio wa nguo watu kama wanaenda kwenye msiba, in short haijanishtua bado
Mambo ya beach hayo , mbona huku ulaya ni mambo ya kawaida , kwani nyie mko dunia ya ngap?Dada mtu alikuwa kalowa na chupi lake,akawa anakata mauno huku Mondi na wana wake wakichekelea tu!
Tuko Tanzania,dunia ya 3Mambo ya beach hayo , mbona huku ulaya ni mambo ya kawaida , kwani nyie mko dunia ya ngap?
Njoo mama mimi naitwa Mr washtueUnishtue na nini , fala wewe , nimecheka kweli🤣🤣🤣🤣
Daah sawa bhana mfukunyuzi..C wivu nikajua itakua talk of the town , hakuna ata anayeishobokea
Toka domo aachane na zari Hana classy wala heshima
Jamani , nilivyosikia party ya diamond kiingilio dollar mia tano, wacha pressure inipande warumi Mimi , nikajua itakua party ya kufa mtu , nikategemea kuona party itakua level ya kistaa kama alivyo diamond mwenyewe, nikategemea kuona watu wazito wenye heshima zao .