Hii ndio Yatch party ya Diamond ?

Kama huelewi maana ya class nyama za ... Why mengi alimuoa Jackline ntuyabaliwe na sio gigy money au umber lulu ?
Muulize Mzee Mengi ndio alieoa ndugu yangu, labda nikuulize kuna siku Mengi alishatangaza sababu iliyomfanya amuoe bibie Jack?
 
Wanaume Wa Sasa Mna Wivu Kuliko Dada Zenu...
 
C wivu nikajua itakua talk of the town , hakuna ata anayeishobokea

Toka domo aachane na zari Hana classy wala heshima
Zari mwenyewe mdangaji tu..a lady with classy can to relate Dr Sandra n u know!
 
Diamond is not of my class , he is illiterate, pesa haiwez nunua class , arudi shule akasome, domo sio type yangu , Hana class wala elimu
Wewe phd yako ya umbea umeipatia wapi?, huenda wapo wengi wangependa nao waipate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…