Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha hata mademu ambao huwakojolea huyu kijana ni ushahidi tosha hana class. Huwa abagui papuchii
Material ya papuchi ni yale yale huu uclass ni ujinga tuHaha hata mademu ambao huwakojolea huyu kijana ni ushahidi tosha hana class. Huwa abagui papuchii
Dunia ndivyo ilivyo , wewe nenda nayo sawa
Muulize Mzee Mengi ndio alieoa ndugu yangu, labda nikuulize kuna siku Mengi alishatangaza sababu iliyomfanya amuoe bibie Jack?Kama huelewi maana ya class nyama za ... Why mengi alimuoa Jackline ntuyabaliwe na sio gigy money au umber lulu ?
Muacheni jamani ale ujana!maisha mafupi!Anajidhalilisha , hata kama akiamua kuwakaza awe na class for the sake of his image . Toka aachane na zari hajielewi
Wanaume Wa Sasa Mna Wivu Kuliko Dada Zenu...Jamani , nilivyosikia party ya Diamond kiingilio dollar mia tano, wacha pressure inipande warumi Mimi , nikajua itakua party ya kufa mtu , nikategemea kuona party itakua level ya kistaa kama alivyo Diamond mwenyewe, nikategemea kuona watu wazito wenye heshima zao .
Diamond ana pesa Ila hanaga class, yani yupo yupo tu, Leo ndo nimeamini money can not buy classy , yani party ya dollar 500 mpaka akina juma lokole wapo? Diamond excuse me , next time ujipange, umejaza mijanamke ya uswazi hawana mbele wala nyuma, diamond should learn from other celebrities , aache mazoea na watu wa kipumbavu
Party ya kiswazi, uchafu mtu , wanawake wachafu, mpangilio wa nguo watu kama wanaenda kwenye msiba, in short haijanishtua bado
Kumbe ww demuDiamond is not of my class , he is illiterate, pesa haiwez nunua class , arudi shule akasome, domo sio type yangu , Hana class wala elimu
Zari mwenyewe mdangaji tu..a lady with classy can to relate Dr Sandra n u know!C wivu nikajua itakua talk of the town , hakuna ata anayeishobokea
Toka domo aachane na zari Hana classy wala heshima
Wewe phd yako ya umbea umeipatia wapi?, huenda wapo wengi wangependa nao waipate.Diamond is not of my class , he is illiterate, pesa haiwez nunua class , arudi shule akasome, domo sio type yangu , Hana class wala elimu