Hii ndio Yatch party ya Diamond ?

Hii ndio Yatch party ya Diamond ?

Kaweka bei hiyo sio kwa kutaka pesa ..dai akutaka tu chafuchafu kama wew wapeleke zogo pale.
 
Diamond is not of my class , he is illiterate, pesa haiwez nunua class , arudi shule akasome, domo sio type yangu , Hana class wala elimu
Wew elimu yako inakusaidia nini ? Mbona we m'beya wa kutupa ...ao una degre ya umbea...[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mimi mwenyewe nimeshangaa dah bora tu angesema kiingilio elfu hamsini
 
Dola mia tano naingia zangu Glastonbury fest kuanzia Thursday mpaka sunday kuwaona akina Kendrick,Jayz,Protoje,Chronnix na bange napuliza bila usumbufu na kachenji kanabaki.Anyway big up Mond kwa kujua kulitumia chata lako.
 
Hivi bado kuna watu wenye tabia za kike kama hizi? We badala ya kuhasle na maisha haya unakuja na sifa za kusifia wanaume wenzio.
Unaudhi kwelikweli.
 
Back
Top Bottom