Picha hii imekuwa edited na mjinga le mutuz. Ili amharibie mwanukuzi bassilaHuu ndio ukweli , hata kama hali ni ngumu lakini gari hii sijaridhika apewe mrembo wa kisasa , ni gari ya kizamani sana ! labda kama bado Mashindano haya yanasimamiwa na Hashim Lundenga ( Mzee wa 10% )View attachment 860870
Halisi iko wapi ?Picha hii imekuwa edited na mjinga le mutuz. Ili amharibie mwanukuzi bassila
Duh!Yaani mtu amekaa uchi wee siku kibao mwisho wa siku anapewa kigari kama hiko, tena ukute ashaliwa mpaka mzigo na wajamaa waandaaji
Lemutuz kwenye ubora wakeAisee! Bora hata gari la Lemutuz na rafiki Jembe walilotoa Miss Mwanza.
Haka Kagari kataondoka na Roho ya mtu kamekaa kiuajiuaji.
Hiyo rangi tu ka ya machinjio ya punda pale Dodoma. Hivi kwa nini wasitoe hata zawadi ya mbuzi mtu akaenda kujinywea supu kuliko huu uchafu??
πππππππππHizi itakua ni fitina kabisa.hiyo haiwezi kuwa gari ya miss tz