Hii ndio Zawadi/gari aliyopewa Mshindi wa Miss Tanzania 2018

Mi nasubiri katakakoshinda ka kana kachura na siyo mifupa kakitaka ofa ya petrol kani pm.
 
Hahaha hii atageuza Uber au Taxify bomba. Kagari kabaya balaa, alafu inaonekana ni used. Kweli Magufuli kabana
 
Huu ndio ukweli , hata kama hali ni ngumu lakini gari hii sijaridhika apewe mrembo wa kisasa , ni gari ya kizamani sana ! labda kama bado Mashindano haya yanasimamiwa na Hashim Lundenga ( Mzee wa 10% )
 
Kwahiyo kama mshindi wa miss tanzania atakua pia ni mshindi aliyetokea kanda ya ziwa ina maana kuna binti atakua na passo na swift.
Safi sana kwa kuanza maisha ukiwa na magari mawili.

Tokea umiss umeanza uliona wapi wasukuma, wakurya au wajita wakashinda urembo? Unajua sura zao + ushamba wao au unaongea tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…