Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Wekeni picha ..tukaone..
nimekuambia ingia youtube au huendagi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wekeni picha ..tukaone..
Namuitaga mtoto mtwiga,toto queen elizabeth ndo mshindi mkuuNani kashinda!??
Kwani miss Tz ni mwanafunzi!?... Anaenda tumika kwa maslahi ya taifa na anaweza pewa mikataba mikubwa tu. CC sio kigezo cha kuogopa hatumpi V8.Kwa CC za Hizo Gari pesa ya mafuta itakuwa Shida
Hivi Haya mashindano siyalifutwa? Au yamekuja ki Lite? maana naona siku hizi bier zote zimekua na ujazo mdogo.Kwani miss Tz ni mwanafunzi!?... Anaenda tumika kwa maslahi ya taifa na anaweza pewa mikataba mikubwa tu. CC sio kigezo cha kuogopa hatumpi V8.
Tulitegemea mabadiliko makubwa but mambo ni yale yaleView attachment 860805
Kana vumbi kweliTulitegemea mabadiliko makubwa but mambo ni yale yaleView attachment 860805
Mchokolo
hii siyo swift ni daihatsu terios Kid / toyota CAMI KID bora hata wangewapa ile CAMI yenyewe ndefu ila siyo hiki kishort chasisKwahiyo kama mshindi wa miss tanzania atakua pia ni mshindi aliyetokea kanda ya ziwa ina maana kuna binti atakua na passo na swift.
Safi sana kwa kuanza maisha ukiwa na magari mawili.
Kwa kweli na rectum kufumuliwa!Na HIV....
Toyota Cami
ama kweli vyuma vimekaza
huwezi pata model of 2005 alafu ikawa mpya so upo sahihi kabisa hii ni used..Afu hilo gari ni used bila shaka
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kwahiyo kama mshindi wa miss tanzania atakua pia ni mshindi aliyetokea kanda ya ziwa ina maana kuna binti atakua na passo na swift.
Safi sana kwa kuanza maisha ukiwa na magari mawili.