Hii ndio Zawadi/gari aliyopewa Mshindi wa Miss Tanzania 2018

Wazee wa Kulea watoto wazuri watampatia Rav 4 new model msipate tabu
 
Mbona Miss tz ni kashindano cha kawaida sana tu! "

Kwanza sio sheria mshindi eti apewe gari, ila ni mazoea tu tuliyojiwekea.

BTW, gari aliyopewa inaendana na hadhi na kipato kwa atayekabidhiwa in terms of fuel consuption, services n spares.
Kifupi, hiyo gari miss tz ataweza kuimudu.

Tusikariri maisha.
 
Kwani miss Tz ni mwanafunzi!?... Anaenda tumika kwa maslahi ya taifa na anaweza pewa mikataba mikubwa tu. CC sio kigezo cha kuogopa hatumpi V8.
Hivi Haya mashindano siyalifutwa? Au yamekuja ki Lite? maana naona siku hizi bier zote zimekua na ujazo mdogo.
 
Kwahiyo kama mshindi wa miss tanzania atakua pia ni mshindi aliyetokea kanda ya ziwa ina maana kuna binti atakua na passo na swift.
Safi sana kwa kuanza maisha ukiwa na magari mawili.
hii siyo swift ni daihatsu terios Kid / toyota CAMI KID bora hata wangewapa ile CAMI yenyewe ndefu ila siyo hiki kishort chasis
 
Toyota Cami
ama kweli vyuma vimekaza

mkuu ukisema toyota CAMI unaipa kiki toyota CAMI ni ile ndefu huwa ina vioo hadi sehemu ya buti

hii inaitwa toyota CAMI KID ni short chasis ya ile CAMI yakawaida πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Afu hilo gari ni used bila shaka
huwezi pata model of 2005 alafu ikawa mpya so upo sahihi kabisa hii ni used..

gari mpya gharama mkuu πŸ˜‚ kama vits model 2018 ni million 36 sasa sibora hiyo 36milion ukanunue used harrier model ya 2006 yenye ma km kama 75k πŸ˜‚
 
Kwahiyo kama mshindi wa miss tanzania atakua pia ni mshindi aliyetokea kanda ya ziwa ina maana kuna binti atakua na passo na swift.
Safi sana kwa kuanza maisha ukiwa na magari mawili.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…