Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
[emoji15] [emoji15]Wangechukua hata kontena moja pale bandarini akapewa hata sofa na trekta 1 ingependeza zaidi.
Naona unataka kiki kutoka kwangu. Mimi ni Mr. Vipi unataka nikuoe au nikuzibue tu chemba?Wewe nae ni Miss?
Sawa uliposema umeona aibu wewe nilijua wewe pia ni miongoni mwa hao mamiss.Naona unataka kiki kutoka kwangu. Mimi ni Mr. Vipi unataka nikuoe au nikuzibue tu chemba?
Nikaushie jombaa, fata mambo yako arif.Sawa uliposema umeona aibu wewe nilijua wewe pia ni miongoni mwa hao mamiss.
Acha kuona aibu kwenye vitu vya kike ile hali wewe mwanaume.Nikaushie jombaa, fata mambo yako arif.
Au wadhamini wameingia mitini kutokana na kuacha ubaoni (BASATA) kiasi cha 5 million...Tatizo wazifa umebana sana,wadhamini hamna
Mbao za Miti na Shada.. Vipi huko Mombasa mnazalisha nini zaidi ya mitaro?Acha kuona aibu kwenye vitu vya kike ile hali wewe mwanaume.
Arusha inatoa mazao gani siku hizi.
Huyo Miss mwenyewe mkuu kama hujamuona ni afadhali uka ahirisha huo mpango wa kutaka kumuona. Unaweza ukalazwa hospitali. Kiufupi ni afadhali sura ya Dr. Remmy Ongala (R. I. P)Hebu tuonyesheni basi huyo misi
Nyamaza acha kutoa meno ya ugoro nje.Mbao za Miti na Shada.. Vipi huko Mombasa mnazalisha nini zaidi ya mitaro?
Usilolijua ni usiku wa giza
Nimejitahidi nisikujibu na nilichotaka nikujibu nimekifutaSasa mkuu ukipewa 10m ukanunue gari ya miss Tz nawewe ukanunua kweli gari ya 10m, utaishije hapa mjini? Hiyo gari kwenye vitabu unaweza kuta imenunuliwa 15m..!
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Huyo Miss mwenyewe mkuu kama hujamuona ni afadhali uka ahirisha huo mpango wa kutaka kumuona. Unaweza ukalazwa hospitali. Kiufupi ni afadhali sura ya Dr. Remmy Ongala (R. I. P)
Bei ya sun lg
Haya chukua kiki basi maana unaonekana upo desparate sana.Nyamaza acha kutoa meno ya ugoro nje.