Hii ndio Zawadi/gari aliyopewa Mshindi wa Miss Tanzania 2018

Hii ndio Zawadi/gari aliyopewa Mshindi wa Miss Tanzania 2018

zawadi haijanifedheesha kama mshindi wa taji!! ni mbaya wala havutii
nikiangaliaaaaa.......
naona namba2 alistahili taji la miss tz
 
chaa ajabu hata hiyo gari yenyewe watamzungusha sana hadi aipate... next year nadhamini miss tz naandaa rolls royce phantom coupe
 
IMG_20180909_132718_773.JPG
 
Huyo Miss mwenyewe mkuu kama hujamuona ni afadhali uka ahirisha huo mpango wa kutaka kumuona. Unaweza ukalazwa hospitali. Kiufupi ni afadhali sura ya Dr. Remmy Ongala (R. I. P)
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom