Hii ndio Zawadi/gari aliyopewa Mshindi wa Miss Tanzania 2018

Mshana acha basi!!! Jana nimekaona wameshakaogesha na shampoo. Wakakapaka na mafuta.....coz sio kwa mng'ao ule!!!! Hahahaaaaa!!!!. By the way, unamfahamu Master Whei Li. Amekuja Bongo. Nadhani kuna mambo mazuri yako njiani, coz yule jamaa ni mpanda mbegu mzuri. Na ana watu wazito nyuma yake.
 
Sema maskini wanapiga Kelele mno we mwili wako ulisha kupatia nini mwenzio sahiv viatu vinakaa mwaka mzima bila kuisha we kila siku kiguu na njia viatu wiki visha lalia upande
 
Mbona sijakuona kikaoni Ursino Morocco? Anarudi November
 
Mbona sijakuona kikaoni Ursino Morocco? Anarudi November
Dah!! kumbe mkuu uko front line!. Mi nipo Musoma now, ila xmonks walinipenyezea picha kadhaa tu, hawakunipa news zozote. Mkuu nitupie news inbobo basi. Ila kila nikiangalia lile dude alilojenga pale S.A huwa sipati picha yule jamaa alikuwa na mission na akili gani. Halafu akamuachia Master Hsing Yun kwa roho safi tu.
 
mkuu ukisema toyota CAMI unaipa kiki toyota CAMI ni ile ndefu huwa ina vioo hadi sehemu ya buti

hii inaitwa toyota CAMI KID ni short chasis ya ile CAMI yakawaida πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Unaua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…