Hii Ndiyo Arabuni...!!!

Waarabu wa omani huyo dua waliyoombewa na mtume imekuwa ni mtihani kwao baada yaxmiaka 20 omani inachukuliwa au itaitwa Omanistan kwa sababu wabulushi wanabigana miti lakini waarabu wenyewe wamekalia humaruu wàkati wakijua pubda hazai binadamu Qaboos hana mrithi warithi wake wataakuwa wale vijana wa kiblushu
 


Haya maneno ya kwenye kahawa mkuu, wengi wanaingea wanavyojisikia lakini ni uzushi tu. wabulushi kweli wapo ila ni wachache sana ukilinganisha na waomani wenyewe, na hiyo kuitwa omanistan haitatokea, wale jamaa wana umoja na mshikamano, na Inasemekana mrithi wake atakuwa mtoto wa baba yake mdogo"Asad bin taariq.



Huyo mrefu
 
Ndg
Nyie mnanipa mtihani Wa kwenda kutembelea Oman !!
 
Yanawafaa wakimbizi wa vita..bora muhogo na kisamvu kuliko maisha ya upweke...
 
Mkuu unaongea tu au una any supportive evidence. Fahamu kuwa gulf countries apart from Iran ni ngumu kuruhusiwa kufanya advancement yyte ile sabb ni tishio kwa US na Israel. Kwahyo inakuwa hamna namna zaidi ya kujially to na america. Hizo silaha na hata sattelite ni kazi ya wa US na UK.( ice prince wa black water ana contract nyingi za ulinzi UAE) Na kama nchi yenye ubora wa elimu na utajiri wa wannachi (per capital 130,000usd) na Qatar population ya RAIA ni 600k kwahyo standard of living na elimu iko juu kushinda UAE.
 
Qatar kupiti Qatar investment authority wanamiliki 879 commercial and residential properties in London hapo downtown wamechafua wao. Kwahyo nyumba ya pili wa raia wa qatar ni UK
https://www.google.com/url?sa=t&sou...FjAKegQIAhAB&usg=AOvVaw3YrZbfZY2nphnwe3Ia7UUk
 

Wakizingua tu utajiri wako wote na wa nchi unazuiliwa kuja kwako. Unazuiliwa kusafiri, kutumia hizo pesa. Pia unapigwa vikwazo.

Nchi zote za kiarabu ni makoloni ya USA,UK,France. Iran (Siyo waarabu) ndiyo nchi pekee huru sehemu hio, ndio maana wanapewa,wamepewa vikwazovvingi sana.
 
Ndg
Nyie mnanipa mtihani Wa kwenda kutembelea Oman !!


OMAN...
IMANI...
AMANI...

hiyo nchi imebarikiwa mkuu, nimetembelea huko dah unapenda wanavoishi sio kama Saudia na emirates, watu wake karimu sana, hakupiti bila salamu hata kama hakujui,na isitoshe atakuchukua kwake ukatembee, na kukukaribisha.

Na katika kusalisha nimejionea mengi hawaangalii huyu eti dhehebu gani, nimeenda kusali misikiti yao ni full raha, yani Ibaadh atasalisha, au sunni ataachiwa kusalisha adi raha. Sio kama wasaudia chuki na roho mbaya na kukashifu madhehebu ya wengine, wanajiona wao wako sahihi. na hata huku kwetu kuna dhehebu moja ivi sitopenda kulitaja, wataniijia na povu humu 😀😀.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…