Hii ndiyo CV ya Dk. Hadji Hussein Mponda

Alikuwa anafanaya Social Marketing IHI sasa unategemea ataweza kusimima mambo makubwa ya afya kweli.Tena kitengo chenyewe cha social marketing kimekufa tayari pale IHI na ule mlori wao upo Bagamoyo unasomba kifusi cha kujenga ofisi za IHI Bagamoyo.
 

Hapa pana tatizo. Haoni kuwa anaidhalilisha taaluma yake anapofikia kuacha watu wafe ndipo ajitokeze kwenye vyombo vya habari? Amekiuka kiapo chake na atajibu kwa Mungu.

Hata haiba ya uongozi hana kwani hana uzoefu wa kuongoza hata serikali ya kijiji kabla ya kuwa waziri. Angekuwa na uwezo wa kuzungumz mbele ya watu na kupanga hoja kama msomi kweli!!
 
Ha ha, sawa mtani.

Lakini nyie hapa bongo si mnahusika sanasana na kufunga vidonda na kupasua majipu?

Wizara yenu inahuweza hata kuongozwa na nesi, maana tukihitaji matibabu siriaz tunaenda zetu apollo...:biggrin:
 
Kha!! Jamaa kachanganya profession kichizi,ila huyu jamaa hata mie nimekuja kugundua kuwa si mzuri wa kupanga hoja na kutetea hoja...na hili nilianza kuliona wakati wa vikao vya bajeti,wakati wa bajeti ya wizara yake kama lingekuwa ni bunge makini bajeti yake haikupaswa kupita..na wengine ni hawa hapa
  1. Prof Anna Tibaijuka
  2. Philipo mlugo
  3. Dr Kawambwa
  4. Ngeleja
  5. ...nk
 

Ina maana huyu jamaa na Phd yake no Publication no research, it cant be lol!! Si bora mie na haka ka-certificate kangu lol!!
 
kwa JK marytina naweza kuwa waziri wa science na tekno
Weka CV yako hapa pamoja na picha yako kama unamvuto (mzuri) hiyo ndiyo qualification yako ya muhimu hizi zingine sisi hatunaga, utaingia kwenye cabinet!!
 
sasa mnashangaa hiyo naskia celina komban ajasoma sheria wanampa wizara ya sheria,ngeleja hivyo hivyo, sasa kwanini wasidanganywe na watendaji wao
 
afya ni muhumu. Ni vema waziri wa afya akawa na taaluma ya afya tangu first degree.
 
Ministerial responsibilities hazihusiani na profession husika na kwa hiyo uwaziri wa afya sio lazima ushikwe na daktari wa binadamu ila cha muhimu ni upeo wa huyo waziri. Kwa mfano hivi mgomo wa madaktari ni kweli kuwa unaweza kutatuliwa na professional doctor pekee?Mbona wizara hiyo imewahi kuongozwa na mawaziri ambao sio madaktari na wakafanya vizuri.
 
Asante, siku zote najua ni dr wa binadamu, kumbe ni Phd ya kuunga namna hiiiiiiii

 
tumevamiwa tena jamani, angalieni kaja lini hapa

 
wazee vipi wakati wa prof mwakyusa hali ilikuwa shwari wizarani/muhimbili?
 
Kumbukumbu: Kuna watu hapa wanasema professionalism haiitajiki katika kuongoza wizara, tujikumbushe waziri mzoefu kabisa Mh. Zakia Megji alipowewa Wizar ya Fedha..........
 

Daah hiyo PHD mimi naifahamu kwa kirefu cha Parmanent Head Damage.
 

Naona shida kidogo kwenye red.

Vipi sehemu alizofanyia kazi ni wapi na ilikuwaje huko?

Amechukulia Human Resourse for Health kama material?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…