Hii ndiyo CV ya Dk. Hadji Hussein Mponda

...ukifikiria sana kuhusu hii nchi unaweza kuumiza kichwa bure..kila kitu kinaendeshwa kiholela tu...hakuna anayejali...kama uraisi ndio kama huu wa jk basi hata mimi hapa nilipo ni raisi...
 

Kweli hata mimi nishakutana na mzee mmoja kusuni mwa Tanzania anatabia sawa sawa na hao wnzake wakina JK.Ilikuwa ni kizazi cha vilaaza
 

kuongoza hakuna uhusiano na taaluma.
 
Ni ukweli kwamba Mponda amepewa madaraka makubwa ambayo hana uwezo nayo. Huyu ni mtu wa kuishia level ya wilaya. Mbaya zaidi hata naibu wake ni pumba tupu. Ukifika kwa Katibu wa Wizara huyo ni kichefuchefu!
 
Mbona hakuna work experience? hajawahi kuajriwa?


 
Sio lazima mtu usomee udaktari ndo awe waziri wa afya cha muhimu ni uwajibikaji wa mtu mwenyewe na sio maswala ya kuangalia cv ya mtu ni upuzi.Kama unataka kuamini wa mweke magufuli hapo kama hapajakaa vizuri.Halafu kama haitoshi blandina ana fani ya uhasibu mbona yupo muda mrefu hapo wizarani na hawakumpigia kelele kasoro haya mambo ya maslahi wanayoyataka ndo wameanza kumpigia kelele kuwa hafai wa tz kwa maslahi hamjambo
 
Prof Mwakyusa David alikuwa waziri kwenye wizara hii kwa muda mrefu tu;things were far better than now?Sidhani kama kuwa na elimu kuhusu wizara husika ndiyo kutamfanya Waziri awe kiongozi bora bali ni moyo wa kuwatumikia wananchi tu ndiyo kitatuokoa watz kupata waziri bora!

Augustine Mrema anabaki kwangu ama Waziri wa pili bora kupata kutokea TZ(of course;Sokoine Moringe Edward is my # 1);Je Mrema alikuwa na elimu gani kipindi kile?
 

Nyongeza: Aaron Chiduo (RIP) alifanya nini mara mbili zote alizokuwa Waziri? Mwakyusa (profesa, nasema profesa) alifanya nini miaka yote hiyo?

Lakini pia hata kama ni yeyote nadhani huyu wa sasa kazidiwa saaaana! Duh!
Hao walikuwa wakikosea kwa kujua, huyu anakosea kwa kutojua kabisaaaaa!
 
Aliyetoa hiyo CV ni mzushi. Dk Haji Mponda anajulikana kwa research na alikuwa Ifakara, kwenye research ya Malaria nadhani kama director na ukigoogle jina lake utaona publication zake.
 


Mwenye hii Education Background hapa chini anaitwa Jakaya Mrisho Kikwete.
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]1958-1961
[/TD]
[TD]Msoga Primary School
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1962-1965
[/TD]
[TD]Lugoba Midle School
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1966-1969
[/TD]
[TD]Kibaha Secondary School
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1970-1971
[/TD]
[TD]Tanga Secondary School
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1972-1975
[/TD]
[TD]UDSM (BA Economics)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1976-1977
[/TD]
[TD]Military Training at Tanzania Military Academy at Monduli
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1983-1984
[/TD]
[TD]Military Leadership Training
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Baba Collins anadai kwamba jamaa mwenye Education background ya hapo juu, amesoma darasa moja na jamaa mwenye education background hapa chini. Mwenye education background ya hapa chini anaitwa Hadji Mponda!!!
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]1967-1970
[/TD]
[TD]Manda Chini primary School
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1971-1973
[/TD]
[TD]Nawenge Primary School
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1974-1977
[/TD]
[TD]Minaki Secondary School ( O-Level)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1978-1980
[/TD]
[TD]Tosamaganga Secondary School (A-Level)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1984-1987
[/TD]
[TD]Mzumbe (Advanced Diploma)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2003-2004
[/TD]
[TD]London-Masterz
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2007-2010
[/TD]
[TD]London-PhD.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


NIMEAMINI kwamba JF is never boring!!!
 


Kwa hili unakusuidia Mganga Mkuu? Hivyo kujuwa utaalamu kunahusisha pia na utaalamu wa kuongoza? Kwa akili yako Wizara ya Afya ina madaktari pekee???
 
tatizo elimu ya uzeeni!!!!kuzaliwa 1958 kumaliza kusoma 2010!!!!
 
Kwa Tanzania uwaziri na vyeo vingine vya kuteuliwa (ikiwamo ubungo wa viti maalumu eg.Vi- Kama taa) ni kulipa fadhila hali imekuwa dhahiri awamu hii ya 4
1. ngelejaaa ni fadhila kawekwa na Rosti-tamu(kumbuka alikuwa kule VO DA ambako ROSTI TAMU ana hisa kibao
2. kawa-mbwa ni binamu kabisaa wa K. J
3. Hawa Vurugu yeye ni ndugu wa Mama namba 1
4. Sophia Chui ilikuwa chakula ya K. J na mzee kitwana Kondoo allikula
5.Luku-vipi ni shosti wa siku nyingi wa KJ toka (UVCCM)
6.Si-6, Makufuli, Mwa-ndoo-syaa(wamewekwa kupotezea tu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…