Sio kwamba umepotea njia mkuu? Naona unaongelea hukumu nyingine kabisa🙂I bet, hukumu haitatolewa based on facts and evidences, bali busara itatumika katika mkakati wa kuelekea kuliponya Taifa.
Kwahiyo relax, hakuna kitu cha kuhofia. Ila next time mpunguze ujuaji. Nilikuwa nawaangalia mlivyokuwa na mbwembwe mara ICC, mara bunge la EU limetoa Memorandum wakati huo mkisahau URT ni Sovereign entity.
Umesoma kweli kilichoandikwa mkuu?I bet, hukumu haitatolewa based on facts and evidences, bali busara itatumika katika mkakati wa kuelekea kuliponya Taifa.
Kwahiyo relax, hakuna kitu cha kuhofia. Ila next time mpunguze ujuaji. Nilikuwa nawaangalia mlivyokuwa na mbwembwe mara ICC, mara bunge la EU limetoa Memorandum wakati huo mkisahau URT ni Sovereign entity.
Ile ya kule juu si tumeshaombewa msamaha kuwa hatujui tulitendalo. Halafu hatuwezi kumshinda shetani kiukweli kabisa, maana kwanza jamaa ni legend na expert kwenye hiyo field yake.Sio kwamba umepotea njia mkuu? Naona unaongelea hukumu nyingine kabisa🙂
Yale yalikuwa maombi ya Yesu kwa waliokuwa wakimsulubisha, sio tangazo kwamba kila dhambi ya kila mwanadamu tayari imesamehewa bila toba na imani.Ile ya kule juu si tumeshaombewa msamaha kuwa hatujui tulitendalo.
Food for thoughtSiku ambayo Judge atatoa hukumu imekaribia. Kuna watu wamejiandaa kushangilia, lakini wengine mioyo yao inadunda kwa hofu, kwakuwa wanajua ni wakosaji. Je, Judge huyu atatoa hukumu ya haki? Je, anaweza kuhongwa ili abadilishe hukumu? Wakati tunaisubiri siku ya hukumu, hebu tutafakari "CV" ya Judge huyu:
• Jina: Yesu Kristo
• Cheo: Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana (Ufu. 19:16)
• Asili: Alpha na Omega - wa kwanza na wa mwisho. (Ufunuo 1:17-18)
• Tabia: Mtakatifu, mwenye haki, kweli, asiye na dhambi (Ebr. 4:15)
• Uzoefu: Alikufa kwa ajili ya wenye dhambi, akafufuka, na yuko hai milele (1 Kor. 15:3-4; Ufu. 1:18)
• Uwezo: Anajua yote yaliyo moyoni mwa mwanadamu (Yoh. 2:24-25)
• Mamlaka: Amepewa mamlaka ya kuuhukumu ulimwengu kwa haki (Matendo 17:31)
Siku ya hukumu haiko mbali. Na Yesu ndiye atakayetoa hukumu. Wanaokataa kuacha dhambi na kumwamini, hukumu yao ni kutupwa katika ziwa liwakalo moto. Lakini watakatifu wataambiwa: "...Njoni, mliobarikiwa na Baba yangu, urithini ufalme mliowekewa tayari tangu kuumbwa ulimwengu. Kwa maana nalikuwa na njaa, mkanipa chakula; nalikuwa na kiu, mkanipa maji; nalikuwa mgeni, mkanikaribisha." (Mathayo 25:34-35)
That day will be pandemonium"Kisha atawaambia na wale walioko mkono wake wa kushoto, Ondokeni kwangu, mliolaaniwa, mwende katika moto wa milele, aliowekewa tayari Ibilisi na malaika zake" (Mt 25:41)
Atakua ameelewaMwambie kwa sauti kubwa